Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

Freeman Mbowe atangaza Baraza la Mawaziri Vivuli

Hakuna haja ya wewe kuwaamini Cdm. Endelea kuwaamini Ccm. Kama unadhani Cdm ni waongo basi Ccm ni waongo waliokubuhu. Siasa za upinzani zimeshastawi kiwango cha kutosha na wewe si
lolote wala chochote kwa siasa hizo. Steven Wasira saa hizi analia machozi yasiyokauka kwa sababu ya Cdm, hata wewe iko siku utawaangalia Cdm kwa jicho la husuda
 
Wewe jamaa ni kama Mwanamke kisirani/visasi aliepigwa kibuti..
Watu wanasonga mbele wewe umebaki na ramli/visirani..Werevu wanasamehana wanaleta mabadiliko kama inavyo paswa..
Punguza kukurupuka..
 
Cdm kuwaamini unatakiwa uwe na akiri ya kushikiwa baada ya kutwambia ni msaliti leo wanataka wamjulishe kwenye baraza la mawaziri kivuri. Toka leo sitowaamini kwa lolote ni watu waongo, wagombanishi, wachochezi,

Kwani wewe ulitakaje...???
 
Hivi nyie kitengo cha IT MAsaki ina maana Magufuli hana taarifa zenu? Hela inayotumika kwenye hivyo vitengo ni nyingi kuliko pumba mnazo andika, hivi huu ni wakati wa kumjadili Mbowe na Zitto au wakati wa kujadili mpango wa maendeleo wa Taifa? Hivi ni lini mtaonyesha ukomavu wa fikra majipu nyie?
Magufuli njoo huku upunguze posho kama ulivo punguza Tbc.
 
Walikugombanisha wew na nani,au walichochea nn,tatizo siasa za Tanzania zinakuwa za matukio zaidi hawa jamaa walitofautiana kwenye vyeo basi...kama ungelijua tangu awali usngeumia kwa chochote..madaraka matamu we acha tu
 
Siasa Mchezo Mchafu,Hainaga Adui wa kudum wala Rafiki wa Kudum!
 
Sasa hawa ndugu zangu wa hapo ufipa sijui wataweka wapi sura zao! Maana kuanza kumwita msaliti kamanda ni ishu kubwa!

Anyway..kama waliweza kwa Luwassa naamin kwa zitto haitashindikana....ukizingatia alichoamua m/kiti hakuna wa kupinga...

Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu .............. Magufuli alikataa kufanya kampeni na Nyoka mwenye makengeza kwa ajili ya kuhusishwa na ufsadi lakini leo jamaa ni Mwenyekiti wa Bunge!! Hivi unaona Magu ana namna ya kumkwepa nyoka .............!!! Hata ANC walifanya kazi na makaburu na wanaendelea kufanya nao kazi pamoja na yaliyotokea huko nyuma!!
 
UKAWA inamuhitaji zaidi Zito Kabwe kuliko yeye anavyohitaji kuwa ndani ya UKAWA. Hakuna namna nyingine ya kulikwepa hili kama wanahitaji watu wenye upeo Mkubwa wa kuisimamia Serikali.
Kinachokuuma ni upinzani kuungana amna kitu kingine.
 
Kila MTU ni Muhimu mistake kuwagawa Upinzani !!
Kama unataka kuongea Kisiasa Zitto anawahitaji Ukawa. !!!!

kuliko wakati mwingine wowote
Cha Muhimu wamekuja pamoja waache wafanye KAzi !!


Ukawa inamuhitaji zaid zzk kuliko zzk anavyowahitaji ukawa,
zzk ni jeshi la mtu mmoja
 
Kinachokuuma ni upinzani kuungana amna kitu kingine.
Kwa Mimi Zito kuunganisha nguvu na upinzani naona ni sawa, kwa sababu siamini katika upinzani dhaifu. Nyinyi ndio mnaumia kuona boss wenu kamuomba msamaha Zito kwa sababu mlimtwisha kila aina ya shutuma.
 
Kwa nini wabunge wa CCM wasiisimamie serikali? Au nako hakupatikani wabunge wenye upeo kama ilivyo kwa UKAWA as you said?
Wabunge wa ccm ni asilimia ndooogo sana wasio na nidhamu ya woga wanaoweza kusimama leo na kusema jinsi serikali ilivyo na mapungufu, wengi wao wako tayari kupitisha hoja mboooovu kabisa ilimradi tu kujaribu kukomoa upinzani kwa maslahi ya chama. Wasikilize bungeni ndo utajua meeengi kuhusu wao na ndo maana wengi wao huishia kulala kwa maana hawana cha kuchangia zaidi ya kukurupuka tu na kudai ipiteeeeeeeeeeeeeee kumba ni hoja mbavu kabisa. Hakika tunahitaji sana upinzani ili anaglau mambo yaende. Makosa ya jana na juzi na yawe mafundisho ya leo na kesho. Hongera sana ZZK, UMOJA NI NGUVU NA UTENDANO NI UDHAIFU.
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Kamanda vp Mbowe ameshatangaza Baraza???

Nijuze kama ZZK kaingia
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.

Limetangazwa, na Zitto hayupo!!!!!!!!!
 
UNA WEZA UKASALITI NA HATA UKAKANA KABISA KAMA PETRO NA MWISHO WA SIKU UKAPATA NAFASI YA KUJIRUDI NA MAMBO YAKAISHA NA UKAENDELEA KUWA JEMBE AMA RATO KULINGANA NA UCHAPAJI KAZI ULIONAO. Naona kuna watu wana dhani TABIA za watu hasa wanasiasa ni kama mawe yaani wakisaiti au wakikana kitu basi mambo hayawezi tena kua kinyume chake, wakumbuke tu kua hakuna ugomvi wa kudumu wala urafiki wa kudumu ila mnaweza kuvumiliana na mkadumu katika umoja wenu. Hata UKAWA wagombane mara 100000000000000000000000000 naamini iko siku watakaa na kumaliza tofauti zao na mwisho kujadili mambo ya msingi kwa mustakabali wa maendeleo ya taifa letu. Najua wanasema sana kwa sasa na wanabeza sana ila UKAWA ndo kiboko yao na kesho tu utaskiaka ZZK yuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndani.
 
Mh.Mbowe anatarajiwa kutangaza baraza la mawiziri kivuli leo.Katika baraza hilo la nguvu linatajwa kuwa na watu makini kuliko la Magufuli linalofanya kazi kutokana na "Mizuka ya Rais".

Imedokezwa pia kuwa Mbowe amemjumuisha Zitto Kabwe mbunge pekee nje ya UKAWA, katika baraza hilo kivuli.
Zitto hayupo kwenye Baraza la Mawaziri kivuli.
 
NINGEMUONA ZITTO MTU HOVYO KAMA ANGEKUBALI, nasikia kakataa.
 
Back
Top Bottom