Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Binafsi nahisi Mbowe ana grudge na Lissu, jinsi mwamba alivyombagaza kwenye kampeni kama ni mtu mwenye roho nyepesi huwezi kusahau. Na ndicho anachomfanyia Lissu leo, it's like he's kept it inside/in his heart.
Haimuathiri ?
 
πŸ˜€ πŸ˜€ anasubiri Uteuzi
Umekosea. Huyo ndiye mgombea kiti cha urais kupitia chama cha upinzani cha CHAUMA kwenye uchaguzi mkuu wa October 2025 atakayechuana na Samia wa CCM.

Hivi punde utamuona akitua huko CHAUMA akisindikizwa na Halima Mdee. Just stay tuned.
 
Kutoka KUB hadi MWT( Mwenyekiti wa Wasaliti Tanzania)
 
Yuda wa zamani baada ya kumsaliti Yesu alienda akijuta hadi akaenda kujinyonga japo alirudisha vile vipande vya fedha... Huyu wa sasa ndio kwanza anatafuta nafasi walau apate rungu la kumsulubisha Lisu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kanda zipi mkuu? Kwani hizo Kanda siyo Tanzania? Acha ubaguzi. Usibague Watanzania kwamba hawafai kuongoza nchi.
Ndio fact hio nyie endeleni kufanya Biashara tu ila linapokuja swala la Power lazima tuwe selective sana, Hamfai kabisa
 
Maskini Mbowe ,mimi sikujua kuna wanaume dhaifu hivyo.Lissu komaa na reforms my dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…