Freeman Mbowe apata picha ya kipekee na Rais Samia

Mnataka mwenyekiti wenu akiacha kukaa na mkewe na Mbowe naye afuate hayo hayo,acheni kumpangia mzee wa watu bhana.Siasa sio uadui na kila mtu awe na maisha yake.
Ukiangalia umri wa Mbowe sio wa kurupushan, ni mda wa kulea wajukuu.
 
Ayatollah Mbowe tunamfahamu siku nyingi—Ni mtu wa transactions. Anaweza kuuza chochote (narudia, chochote) kama kinanunulika!
 
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema na ambaye kwa sasa ni mwenyekiti na mgombea Urais wa Chaumma.........
 
Shahidi wa jamhuri qmmk dakikaaaa za jiooooooni asante wajumbe mliokataa utapeli wa miaka zaidi ya 20


No reform No Election
 
Lissu akicheza cheza watamfunga kimasihara na hakutakua na hasara yoyote, kwani nani alimjua Lissu kabla ya siasa za upinzani?? Freeman Mbowe ana historia na bongo toka baba yake Aikael Mbowe akiwa na ukwasi wa kumiliki Mbowe Hotels aka Bilicanas downtown Dsm. Sasa Lissu nani anawajua wazazi wake huko Ikungi?? watamfunga huyu na iwe ndio mwisho wake. Ngoja nichukue popcorn movie nzuri sana hii.
 
Mbowe mwuungwana sana, amejenga upinzani wenye heshima siyo wa kuharibu nchi. Alitumia akili kushawishi vijana wa vyuo vikuu siyo km huyo lofa anayetaka kutumia nguvu eti tutakinukisha! Yule hawezi kufika kokote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…