KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Kwani haya mambo hujificha mkuu 'Erythro', tuuachie muda ndio utatuonyesha.Katika kesi ya ugaidi iliyomkabili Mbowe , bila Shaka uliona Mabalozi wengi wakihudhuria , uliwahi kumuona balozi wa Kenya ? ni nani aliyesema Chadema inaichukulia Kenya kama Role model , na unamwamini ?
Nimekumbuka wakati ule wa kampeni 2015. CCM wao walikuwa na nani vile? Lowassa yeye kawa upande waUhuru/Ruto, unakumbuka?
Sijawahi kusikia watu wakienda Zambia, Uganda, Burundi, Malawi, DRC au Rwanda! Hivi Kenya kuna nini kisichokuwepo huko kwingine?
Hujiuliza sana kuhusu hali hii.