Freeman Mbowe akutana na Raila Amolo Odinga

Freeman Mbowe akutana na Raila Amolo Odinga

Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko huyu sellout.

Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
My friend....
Wachagga ni next level na usijaribu kuwa fananisha na makabila mengine.
Nakushauri umtafute Mohammed Saidi akupe true history ya wachagga na chaggaland...

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.

Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi.

Kipekee, amewasihi Viongozi na Wagombea hao kuhakikisha vurugu za uchaguzi zilizotokea nchini Kenya miaka ya nyuma na kusababisha vifo vya Wakenya kamwe havijirudii tena.

Aidha, amewataka kutambua nafasi ya Taifa la Kenya katika kuendeleza Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu katika Eneo la Jumuia ya Afrika Mashariki na kwamba wanapaswa wakati wote kulinda na kuendeleza mafanikio hayo.

Mheshimiwa Mbowe amewatakia Wakenya wote mchakato mwema wa Uchaguzi wao wa August 2022.

View attachment 2169614View attachment 2169613
Mambo ni motoo
 
Naona Mwenyekiti kakutana na rafiki yake wa kufa na kuzikana marehemu JPM...
Raila alikuwa mshauri mkuu wa JPM sijui hili la kudhibiti upinzani alikuwa ndo mshauri mkuu? Tutizame historia ya mtu na sio urafiki wa mashaka! Kama namuona Mdude Chadema alivyofura anapoitizama hiyo picha
 
Hiyo picha natamani wangekuwepo magwiji hawa wawili waliotangulia mbele za haki Maalim Seif Sharif Hamad na Etiene Tshekedi. Wote hao watano ndo wamekuwa stubborn opposition leaders. Kwa sasa namuona Bobi Wine in the making.
Tshisekedi yule ndio mpinzani sasa,maana Mobutu alikuwa ananunua wapinzani ila mwamba Tshisekedi akakaza
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi

2022 ELECTION IN KENYA​

Raila meets Tanzanian leader of opposition Freeman Mbowe​

In Summary
• The meeting comes days after the court in Tanzania freed Mbowe and the three co-accused after the intervention from religious leaders.
• The meeting took place in Nairobi and was also attended by the Narc Kenya leader Martha Karua.
30 March 2022 - 22:48

CHADEMA opposition party Chairman Freeman Mbowe with ODM leader Raila Odinga.
Image : CHADEMA opposition party Chairman Freeman Mbowe with ODM leader Raila Odinga.

Azimio La Umoja Movement presidential flag bearer Raila Odinga on Wednesday held talks with the Tanzanian leader of the CHADEMA opposition party, Freeman Mbowe.

The meeting took place in Nairobi and was also attended by the Narc Kenya leader Martha Karua.

During the meeting, Mbowe wished Kenyans peace and unity ahead of the August 9 elections.

They also asked Kenyans to be careful not to be taken back to the violence that happened in the 2007/8 Post Election Violence.

The meeting comes days after the court in Tanzania freed Mbowe and the three co-accused after the intervention from religious leaders.

Mbowe was arrested as arrested on July 21 2021 and faced charges of financing acts of terrorism, though he dismissed the claims, saying that he was in a meeting with party leaders before the arrest.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.

Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi.

Kipekee, amewasihi Viongozi na Wagombea hao kuhakikisha vurugu za uchaguzi zilizotokea nchini Kenya miaka ya nyuma na kusababisha vifo vya Wakenya kamwe havijirudii tena.

Aidha, amewataka kutambua nafasi ya Taifa la Kenya katika kuendeleza Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu katika Eneo la Jumuia ya Afrika Mashariki na kwamba wanapaswa wakati wote kulinda na kuendeleza mafanikio hayo.

Mheshimiwa Mbowe amewatakia Wakenya wote mchakato mwema wa Uchaguzi wao wa August 2022.

View attachment 2169614View attachment 2169613
WACHOVU !!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu ondoa shaka kabisa , Odinga hakuwa Rafiki wa Jiwe , ile ilikuwa mikakati ya Kenya ili asiendelee kuua vifaranga vyao , Rafiki yako hawezi kuacha kuhudhuria mazishi yako , Raila hakuja kumzika yule jamaa
Wewe unazungumzia urafiki wa hivi juzi?
Kumbuka enzi zao wawili hao wakiwa mawaziri wa miundombinu, Odinga akiwa waziri wa Mwai Kibaki na Magufuli chini ya Kikwete. Naona wewe ulikuwa huwafahamu historia kati yao.

Unakumbuka lile boti lililoshindwa kusafirishwa kwenye barabara za Magufuli, badala yake likapelekwa Mombasa hadi Kisumu na kuelekea Mwanza?

Lakini hilo la urafiki tuliache pembeni, kuna hili la muhimu zaidi la Kenya kuwa 'model' wanayoitazama sana Mbowe na wengine wachache ndani ya chama hicho, kama mfano wa kuigwa hapa kwetu. Hili litawaondolea sifa sana kwa wananchi wengi. Ni bora mkalinyamazia kabisa kuliko kuliweka mbele kama lengo lenu kuu.
 
Lagos, Nigeria
News Central TV

CHADEMA ni chama cha siasa chenye ushawishi mkubwa ndani ya nchi ya Tanzania na kimataifa pia

Freeman Mbowe Regains Freedom After Seven Months In Custody, Africa Divides On Ukraine War

Today on #TheConversation, we looked at Tanzania's opposition leader, Freeman Mbowe's release from prison, and the division of African countries as regards the Ukraine war. Anchor: Gbenga Aborowa Guests:

  1. Tundu Lissu - Vice Chairman of CHADEMA, the Largest Opposition Party in Tanzania, CHADEMA's 2020 Presidential Candidate
  2. Gustavo de Carvalho - Public Policy Analyst, Pretoria, South Africa
  3. 3. Dr. Wurayayi Zembe - President, Democratic Party (DP), Zimbabwe
Source : News Central TV
 
Ndani ya nchi na kimataifa chama cha CHADEMA ni gumzo kubwa katika ulingo wa siasa

30 March 2022
Lagos, Nigeria

Tanzania Opposition Party 'Chadema' Boycotts Reconciliation Talks

Tanzania's main opposition party Chadema is boycotting a planned national dialogue. The party says this is because the agenda does not include talks about a new constitution

Source : News Central TV
 
Wewe unazungumzia urafiki wa hivi juzi?
Kumbuka enzi zao wawili hao wakiwa mawaziri wa miundombinu, Odinga akiwa waziri wa Mwai Kibaki na Magufuli chini ya Kikwete. Naona wewe ulikuwa huwafahamu historia kati yao.

Unakumbuka lile boti lililoshindwa kusafirishwa kwenye barabara za Magufuli, badala yake likapelekwa Mombasa hadi Kisumu na kuelekea Mwanza?

Lakini hilo la urafiki tuliache pembeni, kuna hili la muhimu zaidi la Kenya kuwa 'model' wanayoitazama sana Mbowe na wengine wachache ndani ya chama hicho, kama mfano wa kuigwa hapa kwetu. Hili litawaondolea sifa sana kwa wananchi wengi. Ni bora mkalinyamazia kabisa kuliko kuliweka mbele kama lengo lenu kuu.
Katika kesi ya ugaidi iliyomkabili Mbowe , bila Shaka uliona Mabalozi wengi wakihudhuria , uliwahi kumuona balozi wa Kenya ? ni nani aliyesema Chadema inaichukulia Kenya kama Role model , na unamwamini ?
 
Shukrani bwana Mbowe, natumai viongozi wetu hapa Kenya watafuata huo ushauri wako wa kuzingatia amani, ndio kitu ambacho nilipenda sana kutoka kwako, licha ya malalamiko yako dhidi ya Magufuli, ila ulitanguliza amani ya Watanzania.
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.

Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi.

Kipekee, amewasihi Viongozi na Wagombea hao kuhakikisha vurugu za uchaguzi zilizotokea nchini Kenya miaka ya nyuma na kusababisha vifo vya Wakenya kamwe havijirudii tena.

Aidha, amewataka kutambua nafasi ya Taifa la Kenya katika kuendeleza Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu katika Eneo la Jumuia ya Afrika Mashariki na kwamba wanapaswa wakati wote kulinda na kuendeleza mafanikio hayo.

Mheshimiwa Mbowe amewatakia Wakenya wote mchakato mwema wa Uchaguzi wao wa August 2022.

View attachment 2169614View attachment 2169613
Lumbe BAVICHA mpo humu?
Mmelala sana usingizi wa pono amkeni sasa.
Tumieni mitandao vyema kama maviuccm
 
Back
Top Bottom