Freeman Mbowe akutana na Raila Amolo Odinga

Bilionea Mbowe anafahamika dunia nzima
Bilionea wa mitandaoni asiyeweza kujenga makao makuu ya Chadema iwe kwa pesa ya ruzuku au yake ya mfukoni kituko

Ila Chadema Diplomasia za kimataifa mko sifuri
Mfano mlikuwa na uhusiano mzuri sana na Odinga haukuyumba

Mlipomwingiza Lowasa Chadema ,Lowasa rafiki mkubwa wa Kenyatta mkabadili gia angani kumfuata aliyenunua Chadema!! Mkakipigia debe chama tawala cha Kenya wakati ninyi ni chama cha upinzani na Raila na nyie mlikuwa pamoja kwenye muungano wa vyama upinzani Kwa kisingizio ohh Odinga rafiki wa Magufuli
Haya sasa Odinga kajiunga na Kenyatta mbaenda tena kwa Odinga hamueleweki kimataifa mnasimamia wapi
 
Hao ndio marais wajao.
Odinga kuwa Raisi Kenya unaota
Ukabila ulioko kule hapenyi

Rutto atapita bila shida sababu ya kuungwa mkono na makabila mawili makubwa kuliko yote Kenya ya wakalenjini na wakikuyu .Hao kumpa kura jaluo kwao mwiko
 
..mliokuwa mkibagua, mkiteka, mkitesa, mkibambikia kesi, na kuuwa, Watanzania wenzenu, ktk awamu ya 5 , ndio mna matatizo ya akili.
Unachanganya mafaili kamanda.

Mimi na Kibwengo magufuli wapi na wapi?
 
Odinga kuwa Raisi Kenya unaota
Ukabila ulioko kule hapenyi

Rutto atapita bila shida sababu ya kuungwa mkono na makabila mawili makubwa kuliko yote Kenya ya wakalenjini na wakikuyu .Hao kumpa kura jaluo kwao mwiko
Walunya ni wengi kuliko wakalenjin..

Alafu Ruto hana assurance ya kupata zaidi ya 60% ya kura za wakikuyu. Martha Karua akiwa deputy wa Odinga na backup ya Kenyatta and rich folks wa mlima Kenya hapo patakuwa battle ground.
 
Mmoja mfungwa wa ugaidi alikua mwingine mfungwa kizuizini kwakesi ya uhaini (Raila).....wanafanana kwa machungu lakini naamini Kenyatta atakua ameplay part kubwasana kuachiwa kwambowe
 
Tshisekedi yule ndio mpinzani sasa,maana Mobutu alikuwa ananunua wapinzani ila mwamba Tshisekedi akakaza
Yule mzee alikuwa hatari sana. Kuna kipindi Mobutu alimuhonga uwaziri mkuu lakini bado aliendelea kumsumbua. Kabila mkubwa Laurent alifikia hatua akampeleka kifungo cha kijijini lakini wapi hakukoma.
 
Back
Top Bottom