Freeman Mbowe aheshimiwe

Freeman Mbowe aheshimiwe

Kuna mjinga mmoja amemlinganisha Mbowe na Nyerere

Kweli kupenda upofu.
 
Angalia Mbowe alivyoshughulikia matibabu ya mh. lisu mpaka amepona, angalia Ndugai alichokifanya. Kina vitu vingi vinampa credit mh. mbowe

Kuna wale waliombeza alipoomba maridhiano, Sikh chache baadae walionekana ikulu wanakunywa chai sasa hivi wako kimyaaa

Wale mawaziri wakuu wastaafu waliokimbia kimoyomoyo wanamkubali mbowe ni kiongozi mahiri.sema tu maslahi, pamoja na makandokando yao yamewafungamanisha na lile sheitwani la kijani
 
Nani ambae kamvunjia heshima?

Kitoto cha juzi juzi hiki kulikuwa kinafundishwa u DJ na kina DJ Seydou na DJ Femmy.

Unaongelea "enzi", enzi zipi hizo?

Wewe ni Mchagga?
Baba mwenye mjukuu unamuita "kitoto" halafu unauliza eti nani kamvunjia heshima? Ulipokuwa unamtetea kikwete kwa nguvu zote kuna mtu alikuuliza kama wewe ni mkwere? Kibibi kisicho na busara ni sawa tu na kisichana kimala----!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba mwenye mjukuu unamuita "kitoto" halafu unauliza eti nani kamvunjia heshima? Ulipokuwa unamtetea kikwete kwa nguvu zote kuna mtu alikuuliza kama wewe ni mkwere? Kibibi kisicho na busara ni sawa tu na kisichana kimala----!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na mjukuu si hoja anaweza kubambikiwa tu.

Nimeshaulizwa sana na nimeshaambiwa sana kuwa ni Mkwere, tatizo nini?

Mbowe kavunjiwa heshima na nani? Heshima alijivunjia mwenyewe alipo divert safari ya mbunge wake au ni mala... wake? Kutoka New York kwenda Dubai kula nae "bata". Kuna heshima iliyobaki hapo?

Hizo "enzi", enzi zipi hizo?
 
Anakazi kubwa Sana kuwapika vijana wake (makamanda ushuzi)

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Makamanda ushuzy
Mtazame profesa kitilya. Yupo wapi na ametoka wapi
Juliana shoza yupo wapi na ametengenezwa na nani
Mwita waitara yupo wapi na ametengenezwa na nani
Katambi yupo wapi ametengenezwa na nani.
Yaani kwa ufupi kama LUMUMBA MNGEKUWA NA AKILI MNGEHAMIA CHADEMA. ILI MKIRUDI MPATE NYADHIFA MAANA HUKO MLIKO HAMUAMINIKI KABISA .
ILA HUKU WANA SUKA VIJANA UKITOKA UNAONEKANA KWELI UNA MAARIFA CHANYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli ni lazima aheshimiwe kwanza ni mwenyekiti wa maisha hilo si jambo dogo, hata serikali ya awamu ya 5 ilifanya makosa kumtupia vitu vyake nje yeye hastahili kulipa kodi yeye ni mkwepa kodi wa maisha. Hata hayo matumizi mabaya ya fedha za chama ni kosahata kumtaja kwani yeye ni mtumiaji wa pesa za chama wa maisha.
Ni kweli lazima tumueshimu sana Mbowe kwani alibadilisha Gia box angani kama futi 300 kutoka usawa wa bahari bila kuangalia usalama wa watu na chombo chenyewe wakati giabox inabadiliswa ndege ikiwa chini.

Anaitaji kuheshimiwa sana kwani ameleta kitu ambacho hakijawa kuonekana tangia 9 Desemba 1961 hadi alipofika yeye tabia ya kuwafundisha wabunge wake kususa na hata kususia chaguzi na inasemekana uchaguzi wa 2020 amesha andaa utaratibu huo wa kususia uchaguzi hili kuingia barabarani tujiandae.
Ata uteuzi wa viti maarumu pia amekuwa anaitaji heshima kwani ametimiza amli ya Mungu kwenda kuijaza dunia.
Soma hyooo
91630654_534670170797592_8648510517372321166_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa akina Pasco na Lumumba team wanaombeza Mbowe, imagine ikulu inatenga Tshs. 1.5 tri. ili kuingamamiza taasisi iliyostawishwa kwa i vyema na mh mbowe.

Nadhani Mbowe anaweza kuwa second to JK Nyerere kwa umahiri wa kusuka na kuendeleza taasisi anazozisimamia
Uvumilivu wake ndo umeifanya ccm iendelee kuwepo bila hivo tungeshagawana fito.Amani yetu alindwi na polisi bali hekima na busara za wanasiasa
 
Yule bwana ametumia nyenzo zote kuanzia wasiojulikana, DPP, wakurugenzi,msajili,manunuzi, polisi,nk kujenga hofu Kwa ushauri wa yule MTU mrefu anaetawala nchi mkoa lkn amechemka,kila akiwaza jinsi ya kuzima nguvu za umma anaishia kulala tu kwenye jiwe,kaingia gia ya kutumia nccr ambayo inajulikana moshi pekee nayo itabuma kama zibumavo zingine.
 
Kwa namna yoyoteile, tunahitaji chama vya upinzani chenye nguvu hapa Tanzania.
Kichaa tu ndio atawaza kufuta vyama vya upinzani kwa sababu hajui umuhimuwake.

Kuna mbunge mmoja nimeskia anasema Chadema ifutwe nikajiuliza huku nangalia picha yake ivi huyu anaakilikweli huyu?.
Anajua madhara ya kutokua na chama nchenye nguvu bacho kinaweza kuikurupusha serikali usingizini??.

Mbowe ni kiongozi mwenye akili na anajua kucheza kwa umakini.

Ccm hawapati usingizi kwasababuyake.

Hongera sana Mbowe wewe na timu yako ndio mnafanya nchi kuwa hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatumia mda mwingi kuwaza chadema kuliko kuwaza shida za watz. Matokeo yake wameishia kwenye stress upinzani umegoma kufa,shida za watz zingalipo palepale.Ni heri wangetatua shida za watz upinzani ungejifia wenyewe
 
Kuwa na mjukuu si hoja anaweza kubambikiwa tu.

Nimeshaulizwa sana na nimeshaambiwa sana kuwa ni Mkwere, tatizo nini?

Mbowe kavunjiwa heshima na nani? Heshima alijivunjia mwenyewe alipo divert safari ya mbunge wake au ni mala... wake? Kutoka New York kwenda Dubai kula nae "bata". Kuna heshima iliyobaki hapo?

Hizo "enzi", enzi zipi hizo?
Mkuu wa kitengo cha kumtukana Mbowe pale Lumumba Buku 7, lakini siyo ungwana unachofanya ni usheitwani tu.
 
Kweli kabisa alifanya hata club yake bilikanas tukalijua jiji vizuri maana wengi tulichangamkia pale
 
Kichwa kibovu kama hiki vimebaki vichache sana mjini, itabidi zifanyike juhudi za makusudi utafutwe popote ulipo tukuweke "karantini" makumbusho ya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pale nyuma yake wanapatikana WANAOJULIKANA WANAOJIFICHA KWENYE KIVULI CHA WASIOJULIKANA.
 
Back
Top Bottom