Freeman Mbowe aheshimiwe

Freeman Mbowe aheshimiwe

Yule bwana ametumia nyenzo zote kuanzia wasiojulikana, DPP, wakurugenzi,msajili,manunuzi, polisi,nk kujenga hofu Kwa ushauri wa yule MTU mrefu anaetawala nchi mkoa lkn amechemka,kila akiwaza jinsi ya kuzima nguvu za umma anaishia kulala tu kwenye jiwe,kaingia gia ya kutumia nccr ambayo inajulikana moshi pekee nayo itabuma kama zibumavo zingine.
Kuna watu nawaheshiimu sana humu JF lakini wanashindA humu JF kuinanga CDm itakufa, eti haitapata hata mbunge mmoja

Huwezi ona wanakosaoa au kulaani mwenendo na matendo yasiyo ya haki wafanyiwayo CDM
 
Mbowe ni kisiki,amepitia changamoto nyingi ila kasimama imara!Long live mr Mbowe!
 
Vibaraka wa Mbowe wapo kazini
Utamuheshimu vipi mtu anatafuna mke wa mtu mpaka amezaa nae?
Daah! Ukiamini hii ya Mbowe basi amini na za wanaccm! Huyo Jiwe alishasemwa 'kuhonga' mpaka nyumba ya serikali Kwa mwanamke ( Sundi) na anahusishwa pia na Kidoti, je unaamini? Mkwere Vs Vick, je unaamini? Tukiamini hivi vistori vya mitaani hakuna kiongozi tutakaye muheshimu mkuu! Ni kweli kama binadamu Mbowe ana mapungufu yake ila jamaa anahitaji kuheshimiwa! Viongozi wetu ( wa Ccm na Upinzani) wanachafuliwa sana, sisi tusiache kuwaheshimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na mjukuu si hoja anaweza kubambikiwa tu.

Nimeshaulizwa sana na nimeshaambiwa sana kuwa ni Mkwere, tatizo nini?

Mbowe kavunjiwa heshima na nani? Heshima alijivunjia mwenyewe alipo divert safari ya mbunge wake au ni mala... wake? Kutoka New York kwenda Dubai kula nae "bata". Kuna heshima iliyobaki hapo?

Hizo "enzi", enzi zipi hizo?
Huu ni wivu wa kishamba, kumbe ulitaka akuchukue wewe, tatizo ajuza!.

Kama vipi rudi ujanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa 2015 wananchi walikuwa wameshaichoka. Sema Lowasa alibebwa zaidi na rushwa+ukanda

Chadema walijikuta wanatumia njia za kihuni kama ccm kuwalaghai wapiga kura
Hapo kwenye ukanda sina hakika lakini unaposema wananchi walishaichoka sisiemu nakubaliana na wewe nahisi ndo maana Magu baada ya kushinda akaona bora adhibiti hamasa ya wananchi kuichoka sisiemu kibabe kwa kufuta uhamasishaji na harakati za vyama vya upinzani!
 
Kuna siku Jumapili Lowasa alinukuliwa akisema
Sasa ni zamu yetu walutheri kuongoza nchi.

Pili mkewe aliwahi kunukuliwa mahali fulani akihamasisha watu wa kanda fulani wamchague Lowasa kwa sababu ni mtu wa kanda yao
 
Huu ni wivu wa kishamba, kumbe ulitaka akuchukue wewe, tatizo ajuza!.

Kama vipi rudi ujanani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata biblia imekataza uzinifu kijana, unalijuwa hilo? Jikumbushe...

1 Wakorintho 6:

9.
Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.
 
Vijana wa ufipa naona wamejaa umu wanajitekenya wenyewe wanacheka wenyewe Yan nyumbu wamekaa alafu wanamzungumzia nyumbu. Alivyo kua mahir na jasir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah! Ukiamini hii ya Mbowe basi amini na za wanaccm! Huyo Jiwe alishasemwa 'kuhonga' mpaka nyumba ya serikali Kwa mwanamke ( Sundi) na anahusishwa pia na Kidoti, je unaamini? Mkwere Vs Vick, je unaamini? Tukiamini hivi vistori vya mitaani hakuna kiongozi tutakaye muheshimu mkuu! Ni kweli kama binadamu Mbowe ana mapungufu yake ila jamaa anahitaji kuheshimiwa! Viongozi wetu ( wa Ccm na Upinzani) wanachafuliwa sana, sisi tusiache kuwaheshimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhamisha.hoja kamanda,hapa tunazungumzia heshima ya sulrani mbowe,hoja.za sundi kafufue makaburi tutaichangia tu
 
Back
Top Bottom