Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,001
- 72,284
Binadamu yeyote yule anastahili kuheshimiwa, na kulindiwa utu wake, hivyo kutomheshimu mtu ni kukiuka kanuni ya msingi ya kibinadamu.Nikuulize mara moja hii, kwa sababu mstari wako una maana kubwa ambyo pengine hukuiweka maanani.
Kwani kumheshimu binaadam kunatokana na nini?
Au kutomheshimu, kunatokana na nini?
Nadhani Mh. Mbowe sasa amejijengea heshima kwa watu kwa sababu maalum wanazoziona hawa watu kuwa zinamjengea heshima katika uongozi.
Hili ndilo la mhimu kulizingatia.
Mbowe ni chuma magufuli angepata hekima ya uongozi wa Mbowe japo nusu ya Robo Miaka mitano hii tungekuwa mbali Ndani na nje inchi.
For what, snake , bat🤯🥶Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana.
Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika sana. Alichofanya tangu enzi zile mpaka Leo ni kuwafanya watanzania wawaze nje ya box. Kwamba lazima pawepo na siasa za ushindani ili kuleta maendeleo.
Ushindani ni ukuaji. Amefanya makubwa kuliko wale tunaowaheshimu kwa kuwa wako madarakani.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Freeman Mbowe aheshimiwe
Nani ambae kamvunjia heshima?Nimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana.
Yeye siyo adui wa nchi hii, la hasha! Mbowe ametoka kwenye jamii iliyostaaribika sana. Alichofanya tangu enzi zile mpaka Leo ni kuwafanya watanzania wawaze nje ya box. Kwamba lazima pawepo na siasa za ushindani ili kuleta maendeleo.
Ushindani ni ukuaji. Amefanya makubwa kuliko wale tunaowaheshimu kwa kuwa wako madarakani.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Freeman Mbowe aheshimiwe
Naunga mkono hojaNimekaa na kutafakari sana. Nimemtafakari bwana Freeman Mbowe. Binadamu huyu anatakiwa apewe heshima kubwa sana.
Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Freeman Mbowe aheshimiwe
Duh.. !. Hivi hatuwezi kuchangia bila kuingiza mipasho?.Nawashangaa akina Pasco na Lumumba team wanaombeza Mbowe.
Mkuu samahani kama nimekukwaza nakuheshimu sana mkuuDuh.. !. Hivi hatuwezi kuchangia bila kuingiza mipasho?.
Kwa Hili! Hongera Sana Chadema, Hongera Mhe. Mbowe!, Sasa Muwege Mnasikilizaga Ushauri!. - JamiiForums
Ujio wa Lowassa CHADEMA: Kuna kundi wamesusa, wanapanga kurejea CCM! - JamiiForums
Nawaomba radhi wana CHADEMA, nilimwelewa vibaya Mhe. Mbowe - Pasco - JamiiForums
P
Upo Mama.... tunasubiri shule yetu. Muda unakaribiaFor what, snake , bat🤯🥶
Mkuu Mliberali, ukiwa critical unahesabiwa una beza, hivyo ukiambiwa unambeza mtu lazima ujitete. Mfano lile swali langu la Ikulu limeniletea matatizo makubwa, halafu just imagine Chadema ndio inashinda uchaguzi Mkuu ujao, halafu imeelezwa humu Pasco anambeza Mhe. Mbowe!, nitakuwa mgeni wa nani mie?.Mkuu samahani kama nimekukwaza nakuheshimu sana mkuu
Kuna wajinga wanodhani kuwa tunaomuunga mkono mbowe au chadema ni wachagga, mi siyo mchagga lakini kuna kitu cha kipekee nakiona ndani ya mbowe ambacho watu wengine hawakioni,mr chopa
Umetumia lugha ya kishamba sana kuonyesha ulivyo mtupu kichwani na huenda mfukoni pia!
Ungeweka sura yako hapa na kipato chako tuone kama hata uso wako unafanana na sura mbaya ya maneno yako..
To declare interest: mimi siyo Mchagga wala mtu wa Kaskazini. Na sina ndugu aliyeoa au kuolewa uchaggani. But let FACTS stand in their own. Mbowe is not only handsome as a man, he is also smart, wise, and humble. Na kama binadamu wengi tulivyo, Mbowe siyo mkamilifu. But again, who is perfect? Magu?
Kwa historia ya familia yake, hasa baba yake, tangu na baada ya uhuru, Mbowe hakutakiwa kuhangaika na huu upuuzi anaosingiziwa kila siku. Angekuwa selfish, arrogant, and very affluent. Na wote tungemsifu.
Mbowe kazaliwa katika familia ya kistaarabu na kama ni maisha au vitu kavikuta, kaviendeleza na kuviongeza. Mpaka siasa chafu za wivu, ubabe, ushamba, na ushenzi-ushenzi za awamu ya 5 zilipokuja kumwandama na kumfilisi.
Kwa ujinga na 'roho za korosho' walizo nazo akina 'tukose wote' wa nchi hii, tunajitahidi kumfanya Mbowe aonekane ni mtu wa kawaida tu 'lofa' kama (huyu aliyetumia lugha ya enzi za ujima) ili mradi tufanane naye - Hatufanani naye!
Tufanye tunavyotaka. Tumfanye lolote tunalodhani litafuta historia yake. Haitabadili UKWELI. Mbowe ni mmoja wa miamba ya siasa katika historia ya nchi hii. Hata Hayati Nyerere angerudi leo akapewa kipindi ITV, angemtaja Mbowe kama iconic figure kwenye siasa na historia ya Tanzania.
Tuache ulofa. Tuache ushamba. Tuache chuki za majalalani. Na sisi tupambane kutengeneza legacy yenye heshima. Siyo kubaki kutukana tu hapa wakati huenda hata ada za watoto kurudi shule baada ya likizo ya corona hatuna...!
FACTS!
Mbowe ni genius kama ndugu kadhaa walivyo sema hapo juu, ebu fikiria mkulima ametumia jembe yeye anadhani sasa limesha isha limebaki mpini mpini tu hawezi kulitumia tena, analitupa au kuweka kibandni lakini mtu makini au creative anachukua jembe lile lile analifua na kugeuza shoka na anainoa vizuri sana na kuanza kukatia miti na anafyeka misitu na nkupata kupata shamba kubwa ndipo yule mkulima anashituka na kushangaa kuwa kumbe lile jembe linaweza kutumika vizuri kwa namna fulani hata kumpa mwenzangu mazao kuliko mimi anaanza kulitafuta tena , tena kwa gharama kubwa ili aliweke tena chini yake, ndicho kilicho tokea kwa MBOWE na viongozi wa CCM.Kwa lipi? Kwa kutuuza sie wapinzani wa kweli na kubadili gea angani...! Abadan ..hili kosa linahitaji toba ya kweli na malipizi ya dhati..!! Maweeee
Hehehe...Kuna wajinga wanodhani kuwa tunaomuunga mkono mbowe au chadema ni wachagga, mi siyo mchagga lakini kuna kitu cha kipekee nakiona ndani ya mbowe ambacho watu wengine hawakioni,
Tupo watu wenye Akilii, maono na exposure ambao hatuongozwi na chuki, ubinafsi, ukabila na inferiority complex. Tutasimamia ukweli daima