Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

Freeman Mbowe - Afanya maajabu Houston TX

bila kupunguza dharau na kuhoji kuwa uwekezaji utafanywa je utabaki kwenye hicho kibox ulimojifungia! umeshakuwa na kasumba kuwa wawekezaji lazima wawe wazungu au wahindi! wapo watu majuu wana biashara na mitaji ya kutisha lakini kutokana na miundo mbinu mibovu, ukosefu wa umeme na rushwa kwenye taasisi nyuingi za fedha wanashindwa kuwekeza Tanzania! wewe baki na kutengeneza supu ya makongoro ukidhani kila mtu anafanya hiyo!!

Mkuuu nacheka kwa sababu hatujuani na yet unafikiri kuwa nauza makongoro......poor you...!!!!!!!!!I dare say once again wawekezaji wanaotakiwa na kuzungumziwa katika sera sio wa caliber ya hao mnaowazungumzia hapa......kama wapo wataje, makampuni wanayomiliki na mitaji yao.

Kama uliondoka zamani watu sasa wamesoma na wanajua the pre-requisites......acha blah blah zako......kuna watu wa caliber ya IPP na AZAM huko wanaoogopa bureaucratic red tape and poor infrastructure??????

I am in a box yes.....but fully conscious neither boozed nor stupid.......give a list bana ntaondoa kauli yangu this verry moment

Natanguliza kuomba radhi kama kweli utaweza kuweka list ya hao unaowaita wawekezaji na company profile zao
 
Linda ni CHADEMA?

Shocker!!!
_DSC9521.JPG

_DSC9526.JPG

_DSC9531.JPG

_DSC9531.JPG

_DSC9542.JPG
 
watu wengine bwana jimboni kwake hai kuna shida ya kila namna lakini yeye kiguu na njia kutafuta sifa kwa walowezi ambao hata kura huwa hawapigi

nini..... nchi inaongozwa na anaeongoza kusafiri au umesahau mzee
 
Umaskini wa kifikra hapa tanzania ni mkubwa kuliko hata umaskini wa kipato. We jamaa inawezekana una utajiri wa kipato lakini kifikra ni maskini kupindukia, far below thinking poverty level...
Uwekezaji sio lazima uwe wa mabilioni, hapo ndio nyie wana CCM mnapokosea na kuididimiza nchi kwenye limbi la umaskini wa kipato na ukosefu wa ajira. Mtu wa diaspora hata akileta malori mawili yakaajiri dereva wawili na kondakta wawili tayari amecreate ajira na kipato na kapunguza umaskini. Nchi kubwa kama Marekani utajiri wake wote unatokana na SMALL BUSINESSES contribution to the economy. Diaspora walio na uwezo wakihamasika na kuanzisha vimiradi hata vya dola elfu 10 tu ni mchango mkubwa sana kwa nchi hii hohehahe inayotegemea wazungu matapeli kuja kutuibia. Bahati mbaya ni kwamba CCM hawajui hata mchango wa kiuchumi wa diaspora wanapotuma fedha kwa ndugu na jamaa na wanapowekeza, Kenya wanajua.

Haihitaji hata certificate kujua nini unalenga.......well let say I am a first class dull student.....you being a school role model may you please delineate on the basis of you thinking that there might be a greater result on a positive impact from the so you call investors (living in exile) versus the concentration of the same efforts in fostering the home baked economy......let us start from there..... I assure you my mind is open to learn

Mfano wako wa malori; Unadhani wanaweza kulete fleets kubwa kuliko zilizopo hapa ndani.....unajua scale ya salary na p

By the way I am not a member of any political party......I am just a concentrated and highlighted Marxist......take time to digest my signature
 
Chezea toto CHADEMA-USA veve

Ni everywhere,si US pekee mkuu.Tembelea picha za mikutano yao yote.Kuna mpaka volunteers totoz kali mbaya.More likely hiki chama ni cha the new generation.Hao hawadanganyiki tena mkuu.
 
Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX .

Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema.

Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126

Hee! Mtoto wa meja jenerali wa kipindi kile cha Nyerere amevua gamba? Ni kweli nondo zimeingia au kizazi cha dot com kimeamua kuasi kambi? Haya, all the best bro! Nakumbuka kipindi kile tukiwa wadogo tunacheza maeneo fulani; nyumba yenu ikiwa inapepea bendera ya kijani na njano. Nakutakia kila la heri!
 
Ni everywhere,si US pekee mkuu.Tembelea picha za mikutano yao yote.Kuna mpaka volunteers totoz kali mbaya.More likely hiki chama ni cha the new generation.Hao hawadanganyiki tena mkuu.
kweli kabisa mimi nimefikia hatua kuamini kijana yeyote anayeitetea CCM lazima anakamrija ka ufisadi. kuna jamaa fulani (majirani niliokuanao) ambao ni kama ndugu zangu kwakweli lakini nilipoona wanafurahia wizi wa kikwete wakati wa uchaguzi kwenye FACEBOOK iliniuma sana, nimekata mausiano nao toka Nov 2010.
 
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!

Kimbunga, mambo mengine msisite kuomba ufafanuzi kwa kukiri kuwa hamjui ili waungwana hapa wawasaidie, layman argument wakati ulikuwa na nafasi ya kuweza kuelewa jambo, si jambo linalokufaa mtu kama wewe...
 
Weka picha wacha porojo, za Kinana tumeona DC.

Ukute ni afadhali ya Lema pale bar ya Wakenya, London.
hujawahi kutoka hata tz london unaiota watu kama nyie mkija huku tutawatigo tu karibu london
 
mbona hajsema lolote kuhusu unemployment rate ya TZ? na yeye bado ataiacha nchi yetu ikae katika umoja wa non alignment au atajitoa. Unajua liumoja hili limejaa nchi za kiarabu, hivyo ni anti west and anti zionist. mwambieni ajitoe huko, maana sasa hakuna vita baridi kwa nini TZ bado ipo huko?
Lakini mkuu safari moja huanzisha safari nyingine.
 
Ccm wataona utamu vibaya sana 2015

As much as I hate CCM to the last bone of my body, bado nina hofu nao kunako 2015. Hawa watu ni wachawi, na wanaroga kuhofia kunyang'anywa madaraka kwani wana uchu sana na wameweka wizi ndiyo kipaumbele cha familia zao. Kuanzia Kikwete mpaka madiwani wake wote ni wezi hata Kikwete mwenyewe anajuwa haya. They are incomptent na ndiyo maana wanaroga. Nawashangaa sana wana CCM kushupalia chama kinachoturudisha nyuma kimaendeleo, hivi mnafaidika na nini? Ebu angalieni toka tupate uhuru mpaka leo hii: umeme, maji, miundombinu eti bado matatizo/tete wakati hii nchi Mungu ameibariki for everything wao viongozi wanaishia kutupa propaganda eti oh Tanzania ni nchi masikini, wakati tuna gesi, tanzanite, vivutio kibao vya kitalii ambazo uleta fedha za kigeni, na karibia kila aina ya madini yapo, maji kila pande ya nchi, na ardhi yenye rutuba eti bado masikini sie, how and why? Kikwete na washikaji wake kila kukicha safarini nje ya nchi kuomba misaada. Misaada inakuja hatuoni faida yake, ile 10% sasa imekuwa 90%, kinachosalia kinaenda kwenye miradi ya kijanja, na huko kwenye miradi ya kijanja ile 10% inagawanywa na wajanja Kikwete anabakia kutuchekea kwa kutuona sie na wazungu waliompa msaada ni wajinga. Yes, kunako 2015 kura CCM wataziiba tu and I hope Mbowe na wenzake wataomba msaada wa UN ili kura zisimamiwe. To death with CCM, tunataka maendeleo why NOT give Chadema a chance? After all, Kikwete alipewa hiyo chance ameiharibu vibaya mno na hatuna tena matumini naye. Miaka 10 ya madaraka yake tumeona joto la jiwe sembuse miaka 5 mingine ya majambazi/wahuni wa CCM? Nooooo, jamani tuwaue hawa majambazi wa kijani ama inzi, hawafai kabisa na tena ni janga la taifa.
 
kweli kabisa mimi nimefikia hatua kuamini kijana yeyote anayeitetea CCM lazima anakamrija ka ufisadi. kuna jamaa fulani (majirani niliokuanao) ambao ni kama ndugu zangu kwakweli lakini nilipoona wanafurahia wizi wa kikwete wakati wa uchaguzi kwenye FACEBOOK iliniuma sana, nimekata mausiano nao toka Nov 2010.

Kama uyasemayo ni kweli basi wewe ni mfano wa kuigwa.....una dada nioe ili niwe na undugu nawe? Nina shahada ya chuo kikuu na diploma tatu, pia nina miaka 28. Ni mrefu wa 5'9 na nina lift weight up to 210 kgs. Napenda dada wanaojipenda, kuoga, deodorant, perfume, kupiga mswaki, na wapenda maendeleo. Nataka tuwe ndugu.
 
Mkuuu nacheka kwa sababu hatujuani na yet unafikiri kuwa nauza makongoro......poor you...!!!!!!!!!I dare say once again wawekezaji wanaotakiwa na kuzungumziwa katika sera sio wa caliber ya hao mnaowazungumzia hapa......kama wapo wataje, makampuni wanayomiliki na mitaji yao.

Kama uliondoka zamani watu sasa wamesoma na wanajua the pre-requisites......acha blah blah zako......kuna watu wa caliber ya IPP na AZAM huko wanaoogopa bureaucratic red tape and poor infrastructure??????

I am in a box yes.....but fully conscious neither boozed nor stupid.......give a list bana ntaondoa kauli yangu this verry moment

Natanguliza kuomba radhi kama kweli utaweza kuweka list ya hao unaowaita wawekezaji na company profile zao

Ni walist wakusaidie nn? do your own effort to know them or keep quite!where I bolded iam not sure!!
 
hujawahi kutoka hata tz london unaiota watu kama nyie mkija huku tutawatigo tu karibu london

Nimeishi London wewe bado hujazaliwa na for your information, sikwenda huko kwa kujiripua. Huko wewe si unaishi kama mtumwa mambo leo? unanini zaidi ya kubeba maboksi tu huko au kungoja handouts ya ukimbizi ya kila wiki? njoo ubebe mikungu ya ndizi kwenu, wacha kuwaneemesha wadosi wa London.
 
Hahahaha .. mkuu msamehe hajui asemalo...
 
Back
Top Bottom