wewe inaelekea umejifungia kwenye kibox kidogo au tayari umeshalewa falsafa za magamba kwamba kila anayetoka nje ya Tanzania ni kwa ajili ya posho au mambo binafsi! Kwanza uelewe lazima chama kijimbanue ndani na nje ya nchi na pia kuna mchakato mzima wa katiba na hili la watu walio ughaibuni kuruhusiwa kupiga kura kwenye balozi zetu au kwa njia ya mtandao litaingizwa so kamanda mbowe yupo kueleza itikadi na falsafa za chama nje ya Tanzania na kutafuta marafiki pia!!na kuhamasisha watanzania walio nje wenye kipato kizuri wawekeze Tanzania na wasaidie pia vuguvugu la M4C ili 2015 mambo yaende sawa!