Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
Hapo kwenye Red nimefurahia sana, labda ungesema mwingine. Mbowe kwa biashara zake halali ana uwezo wa kwenda ulaya kila mwezi akitaka. Pesa za Chadema haziwezi kumsumbua Mbowe kwa kadri ninavyomjua. Hivi kwa Siku Mbowe kwenye bishara zake anaingiza sh ngapi mkuu mpaka aende US kwa ajili ya Posho? Hii hapana mkuu, umepotosha makusudi.
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe na wadau wa Houston[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV
Kwa picha zaidi bofya read more
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Sugu akiwa na Nd.Ngalawa[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa CDM Taifa akisaini kadi za wanachama wapya[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti wa Muda wa CDM-Houston, Bw,Fue O. Fue akiwa na Mh.Mbowe, Dada Maggie na Mdau[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Sugu akiwa na Nd.George Kasapira[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe akiwa na Nd.Martin Mhumbira[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Mh.Mbowe akiwa na Nd.Andrew Sanga [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
nani kakuambia Hai kunashida ya kila namna,nenda kaangalie jimbo la huyo mwigulu nchemba ndo kuna neema?mwache kamanda apige kazi ya ukombozi wana Hai tunatambua mchango wake awepo Hai au atakapo kuwa nje ya Hai.Mbowe komboa taifa kata anga kupigania ukombozi,mwenyekiti shupavu asiye yumbishwa na magamba
Wengi wajiunga Chadema, Mkusanyiko ulikuwa ni mkubwa sana kwa historia ya mwana siasa yeyote aliyewahi kutokea Houston TX . Mbowe awabadili Wana CCM na kuwa Chadema. Mbowe afanya Houston kuwa base ya CHADEMA na wanachadema watoa Pikipiki 126
mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!
Sasa ngoja nikupe fact wana diaspora sio lazima tupige kura ila tunachofanya ni kukisaidia chama tunatoa magari, pikipiki Na hata helcopter yote hii kwa ajili ya kujenga chama kuanzia ngazi ya chini, ccm 2015 hamtoki, lazima chadema ichukue nchi mtake msitake habari ndiyo, wana wa diaspora houston tawi la chadema tutatoa pikipiki 126
Mh mbowe amefanya kile kilichowashinda wanasisa wengi wa tanzania walio waliowahi kutembelea houston, ktk mkutano uliofanyika mariot hotel watanzania zaidi ya 100 waliweza kuchua Card za chadema, kabla ya mh mbowe mh Sugu alitoa hotuba fupi akiwaomba wananchi waunganishe nguvu kuutoa utawala mbovu wa ccm, Sugu alienda mbali akisema ccm wanawaogopa wana diaspora, chadema wanawahitaji sana Hawa watu, watasaidia sana kujenga uchumi wa nchi yetu
Mzee kinana nae anfuata chakula? hii ndio tofauti ya CDM na NyinyiEM shame on you,
mnawaza kula tu< hivi bila kuandaa chakula kwenye shughuli zenu watu hawaji?
mbona wanapokezana tu safari za nje! juzi alikuwa huko yule jamaa wa arusha, leo yupo mbowe..... ! halafu ndio wa kwanza kumlalamikia kikwetw kwa safari za nje!
Hivi siku hizi mambo yote ni kwa diaspora? Hivi ni kweli wanaenda kufungua matawi au wanasukumwa na posho na kutembea ughaibuni? Mipango ya diaspora kupiga kura ikoje ifikapo 2015 manake isiwe kufungua tu matawi lakini mwisho wa siku hao wanachama wanakuwa hawana maamuzi siku ya kupiga kura!
Mkuu Kimbunga diasporas wanamichango yao pia. Licha ya michango ya mawazo kutokana na exposure zao, pia wanachangia materials zinazosaidia kujenga chama na katika maendeleo pia. Ukichukulia hizo pikipiki 126, gari la wagonjwa nk si haba ukilinganisha na safari za hawa wakuu. Ila naungana na wewe katika kuzidi kuhamasisha tuliopo nchini tuweze kujitolea zaidi katika kidogo tulichonacho ili kujenga chama na maendeleo yetu kwa ujumla. Natumaini tunaweza kufanya makubwa zaidi kuliko diasporas walioko nchi mbalimbali, ila nao ni vizuri wakashiriki pia.
Hapo kwenye Red nimefurahia sana, labda ungesema mwingine. Mbowe kwa biashara zake halali ana uwezo wa kwenda ulaya kila mwezi akitaka. Pesa za Chadema haziwezi kumsumbua Mbowe kwa kadri ninavyomjua. Hivi kwa Siku Mbowe kwenye bishara zake anaingiza sh ngapi mkuu mpaka aende US kwa ajili ya Posho? Hii hapana mkuu, umepotosha makusudi.
Alikuwa anamsema mkweree ambae maisha yake yote ni ya mshahara tu na hajawahi kufanya kazi za kujiajili; shamba lake la kwanza amelipata akiwa waziri na vingine vyote baada ya kuingia magogoni!! Ndio maana katika utawala wake hana concept ya self-reliance kila siku kutembeza bakuli!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.