Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,322
- 219,647
- Thread starter
- #21
huna haja ya kuhangaika na WajingaTatizo umejifungia uvunguni mwa kitanda, na giza unayoiona uvunguni undhani hata walioko nje wanaiona. Amka toka gizani ili usichekwe na watu.
Halafu tujiulize Mbowe mwenye Division Zero Kama unavyodai bila ushahidi, ameweza kuongoza chadema kutoka kuwa Chama kidogo Cha kubezwa Hadi chama kikuu Cha upinzani ambacho kilisababisha serikali kuingiza bajeti ya kuanzisha kikundi Cha wasiojulikana.