Freeman Mbowe aanza ziara ya Kikazi Afrika ya Kusini

Tatizo umejifungia uvunguni mwa kitanda, na giza unayoiona uvunguni undhani hata walioko nje wanaiona. Amka toka gizani ili usichekwe na watu.

Halafu tujiulize Mbowe mwenye Division Zero Kama unavyodai bila ushahidi, ameweza kuongoza chadema kutoka kuwa Chama kidogo Cha kubezwa Hadi chama kikuu Cha upinzani ambacho kilisababisha serikali kuingiza bajeti ya kuanzisha kikundi Cha wasiojulikana.
huna haja ya kuhangaika na Wajinga
 
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.
Hapa ndipo Bara la Afrika linaitwa Dark Continent!! Yaani Dj aliyefeli Sekondari akaongoze vikao muhimu!?
 
Tatizo umejifungia uvunguni mwa kitanda, na giza unayoiona uvunguni undhani hata walioko nje wanaiona. Amka toka gizani ili usichekwe na watu.

Halafu tujiulize Mbowe mwenye Division Zero Kama unavyodai bila ushahidi, ameweza kuongoza chadema kutoka kuwa Chama kidogo Cha kubezwa Hadi chama kikuu Cha upinzani ambacho kilisababisha serikali kuingiza bajeti ya kuanzisha kikundi Cha wasiojulikana ili kukishughulikia.
Utapeli upo kila mahali, hata kwenye siasa
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .

Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .

Tunamtakia kila la heri .
Kila la Kheri Mwenyekiti wa Chama cha Watu wenye Akili.
 
Back
Top Bottom