Freeman Mbowe aanza ziara ya Kikazi Afrika ya Kusini

Tunaomba picha za mbowe akiongoza hivyo vikao
FB_IMG_1682601322963.jpg
FB_IMG_1682601914045.jpg
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .

Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .

Tunamtakia kila la heri .
Tunamtakia Freeman Mbowe kila la kheri!
 
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.
Ameenda tumbua ruzuku mkuu, na huyo mleta habari ndie kati ya chawa wakuu wa mwenyekiti wa maisha wa SACCOS.
 
Tatizo umejifungia uvunguni mwa kitanda, na giza unayoiona uvunguni undhani hata walioko nje wanaiona. Amka toka gizani ili usichekwe na watu.

Halafu tujiulize Mbowe mwenye Division Zero Kama unavyodai bila ushahidi, ameweza kuongoza chadema kutoka kuwa Chama kidogo Cha kubezwa Hadi chama kikuu Cha upinzani ambacho kilisababisha serikali kuingiza bajeti ya kuanzisha kikundi Cha wasiojulikana ili kukishughulikia.
Muongo mkubwa Chadema kilikuwa chama enzi za akina Bob Makani,Mzee Ngwilulupi na mkwe wa Mbowe mwenyewe na pia enzi za akina Dr Slaa, Dr Kimesera, huyu Dj wa divisheni 0 hana lolote, Chadema kinazidi kuporomoka kila kukichwa.
 
Kwi Kwi Kwi
 
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .

Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .

Tunamtakia kila la heri .
ziara ya kikazi au kuchungulia biashara zake? hiyo kikazi ni bythe way tu?
 
Back
Top Bottom