Freeman Mbowe aanza ziara ya Kikazi Afrika ya Kusini

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ameondoka Tanzania leo kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ziara ya Kikazi .

Taarifa kutoka kwenye Chama chake inaeleza kwamba , Mbowe ambaye ni Mwenyekiti mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia barani Africa (DUA) , Ataongoza vikao vitakavyoanza April 26 - April 30 Jijini Johanesburg .

Tunamtakia kila la heri .

Sawa muenezi, tumekusikia
 
Ukisema wengine kiingereza ni lugha ya mama zao sio sahihi. Mzaramo ni mswahili na anaongea kiswahili kwa mfululizo, je fasihi anaijua? Ninachotaka ni "fluently and grammatically".
 
Sorry mkuu, hivi una mahusiano gani na mbowe? Unavomfuatilia hivi si mwisho atahisi unamtaka!
Swali la kijinga sana ! Mimi nafuatilia Chadema , sifuatilii Mbowe binafsi .

Halafu kingine unachopaswa kufahamu ni kwamba kuandika jf kunataka ustaarabu sana , kuandika kejeli hakutakiwi , hii ni kwa sababu tukijibu mapigo utakimbia maana tunakufahamu kuliko unavyodhani .

Musiba alitukana watu hadharani lakini keshokutwa kila kitu chake kinaenda kwisha , Kuwa makini .
 
Mtu aliyepata ziro form six , akashindwa kujenga ofisi ya chama chake kwa miaka 30 atakuwa na uwezo wa kufanya ziara A. Kusini?

Acheni propaganda.
Usichojua ni kwamba mtu aliyepata division zero enzi zile za kina Mbowe ki upstairs anaweza akawa smart kuliko aliyepata div two miaka yenu ambayo matokeo yalikuwa yanapakwa make up ili waziri wa elimu asije akatumbuliwa mpaka mkafika mahali mkaweka na division v
 
Back
Top Bottom