Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
AISEEEHave ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...
Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...
Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...
Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
Yap: ni kweli mkuu
Ni vyema kusaidiana coz huwezi jua, unaemsaidia leo anaweza kukusaidia na wewe kesho.
Wanawake ni watu wa kulipa fadhila na unapowekeza kwa mwanamke umewekeza sehemu stahiki, kwani wakiwezeshwa wanaweza



















vijana wanatafuta wake au wamekuja kujifunza humu ??
umechomwa nn ??Mkuu umenichoma?
Abeemumu
Usikimbie kwa speed hivyo punguza mwendoAbee
Haya,..karibu juice ya chungwaUsikimbie kwa speed hivyo punguza mwendo

Acha ubinafsiNimefurahi ulivotambua majukumu mazito mnayotutwisha, hapo hapo bado eti tuwafikishe na mlimani looh, no wonder baadhi yetu tunakuwa wabinafsi kunako bhana, si kwa majukumu haya!!
Ndo amenituma nikupe ujumbe wako, kuwa nipe tu hiyo zawadiHahaa...
Subiri kwanza nipate confirmation.
huna mme uwe na kumbukumbu...
I will be there umewekewa chumviHaya,..karibu juice ya chungwa![]()