Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,355
- 176,161
- Thread starter
- #521
Akuu mie thimoooo!!José mwenyewe mtoto tuu huoni alivyokuwa ananisumbua?
Nadhani sasahivi nitafute mzee mwenzangu hawa watoto watanipa jaka la moyo.
Au nielekeze akili yangu kwenye kujikwamua kimaisha kwa kuendeleza biashara zangu kuliko kupambana na hawa watoto kama ulivyotushauri kwenye bandiko lako au wewe unasemaje?