Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

Nimefurahi ulivotambua majukumu mazito mnayotutwisha, hapo hapo bado eti tuwafikishe na mlimani looh, no wonder baadhi yetu tunakuwa wabinafsi kunako bhana, si kwa majukumu haya!!
Huh!!! Nshomile jamani ndi uanaume huo. Komaa tu, na ubinafsi ni dhambi.
 
mie naona kosa ni la wazazi lol....

wengi wanadhani sababu mwanae yuko kwenye 20's then he is matured enough....

wazazi wanatakiwa waendelee kuwa guardians hadi hapo mwanae anapokuwa kwenye transformation ya kutoka utoto kwenda adulthood,

'' mwanangu umepata mchumba fanya A,B,C ili u excell wewe na familia yako,mimi na baba yako tulifanya D,E,F

kuna mitoto mingine Nunda,haiskii,lol..ila wazazi kama mtawaacha watoto kwenye vulnerable position, kijana ajifunze mwenyewe,the world can be cruel.....atajifunza vyote hata visivyotakikana
 
MO11 unamfahamu vizuri lakini wewe!!! Ngoja akukute.
hivi vitoto vya siku hizi ni vitomaso sana
vitataka hadi picha ukikipa kitataka cheti cha ndoa
ukimpa ataanza kubishana eti tumepeana talaka
ili mradi ashinde
ila kwa vita anayoitaka atashindana lakini hatoshinda
 
mie naona kosa ni la wazazi lol....

wengi wanadhani sababu mwanae yuko kwenye 20's then he is matured enough....

wazazi wanatakiwa waendelee kuwa guardians hadi hapo mwanae anapokuwa kwenye transformation ya kutoka utoto kwenda adulthood,

'' mwanangu umepata mchumba fanya A,B,C ili u excell wewe na familia yako,mimi na baba yako tulifanya D,E,F

kuna mitoto mingine Nunda,haiskii,lol..ila wazazi kama hamtawaacha watoto kwenye vulnerable position, kijana ajifunze mwenyewe,the world can be cruel.....atajifunza vyote hata visivyotakikana
Yes kabisa, ndio maana hapo awali nilisema tatizo linaanzia katika namna tunavyolelewa na jamii inavyotaka mwanamke awe. Tukija kwenye uhalisia tunakuwa tushapoteza.
 
hivi vitoto vya siku hizi ni vitomaso sana
vitataka hadi picha ukikipa kitataka cheti cha ndoa
ukimpa ataanza kubishana eti tumepeana talaka
ili mradi ashinde
ila kwa vita anayoitaka atashindana lakini hatoshinda
Ma huby
 
Sasa jamani si unajua akili ya leo haiwezi kuwa ya kesho. Nikimuacha ni bahati mbaya tu.
Wewe ujue tuu, ukimuacha Transcend utatuumiza wengi.Hata fundi hatopenda.

Nina rafiki yangu wa siku nyingi aliwahi kuwa na mchumba na bahati mbaya hawakuwa mkoa mmoja;Rafiki yangu alikua kimasomo nje ya nchi na mchumba wake akiwa DSM.Kutokana na uhitaji wa binti na familia yao, jamaa akawa anamtumia hela nyingi kweli kwa ajili ya chuo na matumizi.Ninakumbuka nilimshauri rafiki yangu kuwa hata kama anamsaidia asitume kiasi kikubwa vile ...aliendelea kutuma na kilichotokea ni kwamba yule binti alikua anatoka na mtu mwingine huku hela anatumiwa.

Jamaa alikuja kunikumbusha ushauri wangu when it was too late.
 
Mmmh!
 
Auntie umeongea kitu cha mana sana watu wengi wanajisahau na ujana wa mda mfupi asante sana kwa kutukumbusha mada nzuri sana barikiwa sana
Shunie
nataman siku moja ugeuke. Tunapata simanz kuona mgongo kila siku.
 
Nitumie pesa kwanza.
Ngoja nikwambie kitu dia nilivyo nina penda mihamala basi mejikuta nime mute notification zote, msg ni silent kwasababu gani sitaki usumbufu wa kufikiria kila saa msg inapoingia kwamba huwenda ni muhamala umetiki sasa naanzaje kukutumia wewe kisa unipe ushauri si bora nisome majarida mfyuuuuu
 
Back
Top Bottom