Free talk: Mwanamke shtuka!

Free talk: Mwanamke shtuka!

Utasikia mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu. Utaitwa majina ya kila aina.
Mtaambiwa mnapenda sana tamthilia za kifilipino, zimeshawaharibu
Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimya
 
Ya kweli dia, nilimfumania na rafiki yangu carbamazepine nimeamua niwaache wawe huru. Kumbe hujui kama carba alinigeuka?
Whaaaaat!? Carbamazephine huyu huyu ninaemjua mimi au mwingine? Heeee jf simama nishuke zangu mie!

Vipi lakini u buheri wa afya? Nimekuham kweli best
 
Utasikia "unanipangia kwenye nyumba yangu"!!
Unasema nyumba tu...mwingine anasema unanipangia watoto wangu wasome shule gani?...
Wanasahau kila kitu ni vya kwenu wote....
Acha tujijenge tuwe na vyetu na sisi tupate nafasi ya kushiriki maamuzi ya kifamilia...sio kuwa mtekelezaji tu
 
Whaaaaat!? Carbamazephine huyu huyu ninaemjua mimi au mwingine? Heeee jf simama nishuke zangu mie!

Vipi lakini u buheri wa afya? Nimekuham kweli best
Tena mimi ndio niliwafumania.
 
Unamtumia sms, "wahi kurudi nyumbani leo uhakikishe watoto wameoga mapema,wamefanya home work na wale na kulala mapema, mie nipo sehemu na friends tunapata moja moto moja baridi"
Uwiii. Kesho yake ataongoza campaign nchi nzima kupinga upumbavu wa 50/50. Atakua balozi mzuri sana wa mwanaume kujua majukumu yake kwenye familia
 

Linapokuja suala la kumfurahisha mwanamke ndio tunaambiwa tamthilia, ila ikiwa kwa mwanaume basi wewe ndio mwanamke unaefaa.
Teh ndo yale yale ooh mwanaume ni kama mtoto, ila subiri sasa huyo mtoto achelewe kurudi bila taarifa afu umuulize au umseme, utaambiwa "usinitreat kama mtoto wako" mweeh
 
Back
Top Bottom