Wanatakiwa kufanya vyote sadaka watoe na kutupatia halikadhalika,.[emoji28]Hahahaaaa!! Kutotoa sadaka jaoni kama ni dhambi ila kukupa mpenzi wake ndio anaona dhambi.
Missing you too darlingMissing you baby girl
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani khaah
Haha nilikuwa nakusalimia tu nataka shariAhahahaaaaaa Mrs pampula una nini lakini
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kuwa watoto tulelewe na waume zetu. Kujitia mabosslady tutakutana na prenuptial kwenye ndoa zetu miaka michache ijayoHahahaaaa!! Hapana iishie hukohuko jamani. Pensheni tutakula wapi sasa[emoji85] [emoji85]
Tutaziweka wapi hizi sura zetu pana[emoji134] [emoji134] [emoji134][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kuwa watoto tulelewe na waume zetu. Kujitia mabosslady tutakutana na prenuptial kwenye ndoa zetu miaka michache ijayo
Watazipata tu, kupitia watoto...chezea akili ya mwanamke.Ila kweli. [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Maana siku hizi harusi nyingi za mbele hawafungi bila prenuptial agreement. Bongo ikija hiyo wanawake wengi hawataolewa na wazee maana kinachowapeleka kwenye ndoa hakitakuwepo
Nimecheka mwenzio hadi basiHahahaaaaa! NANDERA nilikumisimo jamani.
Heaven Sent njoo huku.
Nyakati zimebadilika ujue, naona mabadiliko makubwa hata kwao wanaume. Soon marioo watajikuta wamegeuka tunagombania nao wanaume maana hakutakuwa na mwanamke mfuga marioo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na tutapata tabu sanaaTutaziweka wapi hizi sura zetu pana[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Ila kweli hatujawahi kushindwa jambo sisi [emoji23]Watazipata tu, kupitia watoto...chezea akili ya mwanamke.
Halafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tuendelee kuwa watoto tulelewe na waume zetu. Kujitia mabosslady tutakutana na prenuptial kwenye ndoa zetu miaka michache ijayo
vicky mzm kbsMfyuuuu[emoji23]Vicky nae anasemaje??
sura pana hadi hazijai kwenye screens za simuTutaziweka wapi hizi sura zetu pana[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Msalimie sana na mama swalehe,.vicky mzm kbs
Watafurahi vipi? Maana hiyo 50/50 itaenda mbali nje ya Financial issues wasipokuwa makini. [emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume watafurahi sana maana wao ndio wanatusaidia sasa hivi kuimba wimbo wa 50/50.
Msalimie sana na mama swalehe,.
Alafu umeona mbali ujue, una akili sana. Ni vile tu haikuwa ktk maandishi ila inatekelezwa kivingine kabisa.Halafu hii kitu prenuptial ilikuwepo kiaina enzi zile unakuta mjane ananyanganywa Mali za mumewe na ndugu za Mume....kisa hawakuzichuma wote....hii kitu ipo sema ndio haikuwa kisheria zaidi