FREE MIN MEE

 
Dah watu wajue humu kuna watu na watani zao, suala la itigi ni langu mimi na wewe. Wa itigi ni mimi sio wewe, ila mimi hukugeuzia kibao.

Kuna muda watu wana hamu tu ya kugombana na mtu wanatafuta sababu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…