Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

process ya pili kwangu inagoma kufanya kazi nashindwa kutransfer config files wala kuunzip coz kwenye config files kwangu gamna kitu.files is empty

Mkuu Download hizo configs hapo juu afu zipeleke Local disc c>program files 86 >NMD VPN>Config

Kwenye config utakayo yakuta yafute
 
process ya pili kwangu inagoma kufanya kazi nashindwa kutransfer config files wala kuunzip coz kwenye config files kwangu gamna kitu.files is empty
Mkuu angalia post ya elmagnifico kwa win 8 64Bit tumia hiyo openVPN alio weka elmagnifico, iko post za mwanzo mwanzo
 
Last edited by a moderator:
modem yangu huawei k3565 haionekani ninapo conect nipeni link ni apdate firmware.
 
njunwa wamavoko habari mkuu ninaomba japo hata kwa pm unifafanulie kuhusu hii kitu na umeniacha kwny magic cm card na usb dongle

Daah.. nimeingia jukwaa gani tena hili?!
yaani hamna ninachoelewa aseee.. kweli shule muhimu!

mhhh hongereni yenu naona wataalam mnafaidi bana ss wengine tutaishia kusoma matambo yenu ya maujuzi yenu nilikuwa na mzuka wa kufuatilia lakini mwanzisha uzi aliposema kaweka huku akijua kuwa wote ni ma cracker hapo ndio kanikata maini kabisaaa maana sijui cracker ndio mdudu gani.
ila kama kuna muungwana anayeweza jitolea kuwa MWALIM mwanafunzi nipo hapa jamani.

why kila siku mfaidi nyie tuu au ndio kama kawaida mwasema mwenye nacho huongezewa?

labda ningeanza kwa kuuliza swali hili MAGIC SIM CARD ndio nini wakuu au ni line gani hiyo?
na usb flush dongle nayo ni kitu gani??
msisahau kuwa hata MBUYU ulianza kama MCHICHA?

  1. Magic SIM card (without Balance)+USB DONGLE unavyosema hivyo unamaanisha nini??? hasa kkwenye usb dongle??

njia panda.!!

Mkuu njunwa wamavoko hiyo MAGIC SIM CARD ndo sim card gani na inapatikana wapi? nahitaji hiyo huduma sana mkuu, tafadhali.

Kwa wale wenzangu namie, MAGIC SIM CARD Ni line ya simu yoyote ile iliyo na ZERO BALANCE, ISIWE NA ELA NDANI, NA HIYO USB DONGLE IS NOTHING BUT MODEM YOYOTE ILE YENYE UWEZO WA KUINGIZA HIYO LINE ISIYOKUWA NA ELA YAANI ZERO BALANCE. TRY THAT!
 
Mkuu njunwa wamavoko Shukurani sana. Mambo ni bambam.

njuwa2.JPG

Tatizo nililonalo ni kuwa kila baada ya sekunde chache inaomba login info. Tatizo ni nini?
 
huyu jamaa ashanifanyia mabmbo sana hii ni extra tu,though bado sijafanikiwa katika hili am still trying,karibu tufaidi pamoja

Asante mkuu. Muda utakapo fika nitajiunga nanyi.
 
Mkuu tunashukuru kwa mautundu yako! much respect kamanda wa nguvu!!!!

ila mimi hivi vitu ambavyo umeviweka kwenye namba moja ambavyo ni Magic SIM card (without Balance)+USB DONGLE ndo sijavielewa! nieleweshe ni vitu gani hivi kamanda!!!

Unarefusha uzi nakuwachosha watu kusoma point za msingi emu edit hii post yako usiweke quote kwa maelezo niliyoyatoa
Nakusihi niombi kwa wale wanaogopa kusoma Nyunzi zenye page nyingi
 
  • Chukua hii hapa
    Code:
    [URL="http://huaweifirmwares.com/downloads/k3565/"]K3565[/URL]

mkuu, napata jibu [h=1]Resource Limit Is Reached[/h] The website is temporarily unable to service your request as it exceeded resource limit. Please try again later.
 
Back
Top Bottom