Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Kwanza nashukuru tena kwa mara nyingine,,, but mbona naaribu kudownload torrent files zinagoma??? waweza ntolea ufafanuzi kwa hili??

Nimeshafika from the gradu lkn PM nyingi mno ntachambua na kujibu moja moja

We unayetaka Torrent lazima utumie Torrent server
 
PM nimejibu zote kama unafikiri nimekosea passwd au usernem na Passwd
leta feedback PM maana nilikuwa na TYPE Fasterr

WEMBE NI ULE ULE USIPOLETA FEEDBACK ON THREAD ACCOUNT YAKO ITAZIMWA NAKUPEWA KWA MWINGINE
 
NJUNWA WAMAVOKO
i apprciate ur work mkuu and nashkuru xana.,,,tena zaid ya xana.
 
Nimeshafika from the gradu lkn PM nyingi mno ntachambua na kujibu moja moja

We unayetaka Torrent lazima utumie Torrent server

but kaka natakiwa connect na server gani kati ya hizo coz hpa kila nikajaribu zinagoma,, inayokubali ni ile moja tu ya 47
 
yes! haya ndio mambo. @njunwa wamavoko ubarikiwe sana
 
Attachments

  • Capture2.PNG
    Capture2.PNG
    11.4 KB · Views: 126
but kaka natakiwa connect na server gani kati ya hizo coz hpa kila nikajaribu zinagoma,, inayokubali ni ile moja tu ya 47

mkuu tumia hiyo hiyo inayokubali inayokataa we ipotezee
Maana page 1-2 kuna server nimezitaja kuwa hazifanyi kazi na nilifnya makosa kuziweka
 
natumia window 8 64 bit sioni hiyo option ya shortcut iliyojitokeza kwenye desktop niifuate na kuset as adminstrator
 
natumia window 8 64 bit sioni hiyo option ya shortcut iliyojitokeza kwenye desktop niifuate na kuset as adminstrator

Mkuu Process ya kwanza niliyoiweka sio essential lkn kwakuwa binadamu kama kiriafu hakosi uchafu anaweza kosa run as administartor ndo fxn ya step ya kwanza hivo opt njia ya Pili
Ambayo nikui-RUN AS ADMIN siku zote
 
Kwa wale mnao tumia ubuntu au OS ambayo imebase kwenye ubuntu mta install OpenVPN software kama ifuatavyo

  1. Fungua Terminal software
  2. type sudo apt-get install openvpn
  3. Folder la OpenVPN lipo kwenye /etc/openvpn
 
nikiamka asubuhi ndo kitu cha kwanza kushughulikia hii ishu, thanx njunwa. nitaleta feedback hapa
 
shukrani njunwa wamavoko Nimefanikiwa kuiona username na password. inapiga kazi kwa spidi ya ukweli
 
Mkuu Process ya kwanza niliyoiweka sio essential lkn kwakuwa binadamu kama kiriafu hakosi uchafu anaweza kosa run as administartor ndo fxn ya step ya kwanza hivo opt njia ya Pili
Ambayo nikui-RUN AS ADMIN siku zote

process ya pili kwangu inagoma kufanya kazi nashindwa kutransfer config files wala kuunzip coz kwenye config files kwangu gamna kitu.files is empty
 
Back
Top Bottom