Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

kazi nzuri kaka ingawa wengine hatuwezi pata hizo username na pssword kwa sababu ni wageni humu jf

Inabidi utafute thread kama tano uchangie afu upate post 5+ afu ndo uni PM kila siku ntakuwa natoa usernem na passwd upya
Kwa wale ambao hamkuleta feedback account nimeziwekea FLAG na nyingine nimewapa wengine sababu ziko limited nasiwezi Ruhusu ziharibike na watu wasiozitumia ndo maana naamua kufanya hivo
Nimeweka Tutorial jinsi ya kujipatia Configs zako na usernem na passwd yako lkn hii ni kwa wale ambao washajaribu kwanza zangu
Hivo kwa wageni wote ntaendelea kuwapatia Usernem na Password kesho 24HRS sitotoka online ntakuwa nikigawa Usernem na passwd hivo stay tuned.
Kwa wale wanao-omba usernem asubuhi ili wazitumie jioni nawashauri wasiwe na haraka Usernem japo zipo limited lkn sitegemei ziishe leo wala kesho
 
images.jpg

vivid_chemistry__rebellion_respect_by_lancha-d4qxpxh.jpg

Nimekukubali kamanda
 
Mi naona ungetoa ni wapi unapotengeneza hizo username na password tukatengeneza wenyewe ili kukuepushia usumbufu!
coz tangu juzi nikilikuwa napata net poa but leo inahitaj niingize password kwa jinsi ninavyoelewa ile password niliyokuwa natumina its not valid any more.
 
same to me, jamaa kazifunga(kaziflag) sijui kwa sababu gani ila kama sababu ni kuto kutoa feedback mi nahisi ni mtu wa kwanza kutoa feedback angalieni wenyewe page ya kwanza idm feedback ni ya nani. njunwa wamavoko siyo fresh kuflag baadhi ya account achia watu wapakue madude.
 
Last edited by a moderator:
Ndo hivyo njuva keshafunga, nimejaribu fuata maelekezo yake metengeneza account lakini mambo hayakubari
 
naona jamaa kashafanya yake tayr,,,maan walalmikaji 2naongzeka 2.

Ndo hivyo njuva keshafunga, nimejaribu fuata maelekezo yake metengeneza account lakini mambo hayakubari

same to me

same to me, jamaa kazifunga(kaziflag) sijui kwa sababu gani ila kama sababu ni kuto kutoa feedback mi nahisi ni mtu wa kwanza kutoa feedback angalieni wenyewe page ya kwanza idm feedback ni ya nani. njunwa wamavoko siyo fresh kuflag baadhi ya account achia watu wapakue madude.

Wakuu nitake kuwambia kuwa nyie ndo wahasisi wakwanza wa hili gemu na nimefurahishwa na kuchangamka kwenu
mfano mr elmagnifico katuletea OpenVPN ambayo inaweza Tumika kwa 64bits maana mm mwenyewe nilishindwa kutumia Open VPN yangu kwa windows 8.1 64bits ndo maana Tutorial limeiandalia kwenye "Windows 7 not genuine".
Kuna tutorial Mpya nimeweka yakujipatia Usernem na pAssword nataka pia baada ya kuwaonjesha zangu ningependa kuwambia pia muishughulikie maana Akili za wengi Ugundua mengi

https://docs.google.com/document/d/1B-XJ0ykmW-BZ564pk2hZHCzqiCLwlBSUFj3GrzbJ4Uk/edit?usp=sharing
 
Last edited by a moderator:
Zoezi la kutoa Usernem na Passord bado linaendelea na naendelea kujibu PM
kwa wale wenye Android V 4 na kupanda ali maharufu kama Jellybean mtapewa kipaumbele bila kuwasahau watoto wa APPLE Macintosh wenye iOS V 5.1 na kuendelea
 
Wakuu nitake kuwambia kuwa nyie ndo wahasisi wakwanza wa hili gemu na nimefurahishwa na kuchangamka kwenu
mfano mr elmagnifico katuletea OpenVPN ambayo inaweza Tumika kwa 64bits maana mm mwenyewe nilishindwa kutumia Open VPN yangu kwa windows 8.1 64bits ndo maana Tutorial limeiandalia kwenye "Windows 7 not genuine".
Kuna tutorial Mpya nimeweka yakujipatia Usernem na pAssword nataka pia baada ya kuwaonjesha zangu ningependa kuwambia pia muishughulikie maana Akili za wengi Ugundua mengi

https://docs.google.com/document/d/1B-XJ0ykmW-BZ564pk2hZHCzqiCLwlBSUFj3GrzbJ4Uk/edit?usp=sharing
hii kitu toka jana inaniumiza kichwa, nime sign up peoplesvpn, ni kasign up kebrum ni kadownloadd certificates lakini nachanganyikiwa kila nalofanya naambulia patupu
 
MKUU NJUNWA WAMAVOKO.,,,kama kunauwezkano andaa tutorial nyngne ambayo tutawez kuifuat na kufnikiw,,,,hii uliyoiwek 2naambulia pa2puuuuu.!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom