elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Mimi nimetumia hi hapo tool, unafuata process zote za njuva sema inapokuja kwenye ku extract na kuamishia mmafile ya hilo folder la free internet hapo ndipo kuna utofauti maana hii tool kwenye location ya C:\programs\openvpn\config hilo folder halipo. kwa hiyo unaweza extract kwenda location yoyote utakayoona ni rahisi kwako.then ukishamaliza utaifungua hiyo open vpn inaenda kwenye tray utaifuata na ku i double click itafunguka then uta click kwenye add profile from computer, u allocate yae mafile yako ulio extract uchague moja ambalo litaonekana kwenye hiyo software kwamba limekuwa added, then uta li right click na kucahgua connect, utaingiza username na password uliopewa na njuva mambo safi