Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Free Internet to all JF members with A MAGIC SIM CARD(No payment required)

Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    38.7 KB · Views: 167
Kwanza nashukuru tena kwa mara nyingine,,, but mbona naaribu kudownload torrent files zinagoma??? waweza ntolea ufafanuzi kwa hili??
 
Kwanza nashukuru tena kwa mara nyingine,,, but mbona naaribu kudownload torrent files zinagoma??? waweza ntolea ufafanuzi kwa hili??

haya mambo waachie wanyewe tumia google chrome 7.21.40.82 itakubali :glasses-nerdy::doh::target:
 
Hahaha. Naona umemvulia kofia. Ila mnafaidi jamani

huyu jamaa ashanifanyia mabmbo sana hii ni extra tu,though bado sijafanikiwa katika hili am still trying,karibu tufaidi pamoja
 
  1. Magic SIM card (without Balance)+USB DONGLE unavyosema hivyo unamaanisha nini??? hasa kkwenye usb dongle??
 
ps.PNG
Mkuu njunwa wa mavoko nakusubiri wewe tu nshafika hapo
 
Mkuu njunwa wamavoko hiyo MAGIC SIM CARD ndo sim card gani na inapatikana wapi? nahitaji hiyo huduma sana mkuu, tafadhali.
 
Mkuu njunwa wamavoko hiyo MAGIC SIM CARD ndo sim card gani na inapatikana wapi? nahitaji hiyo huduma sana mkuu, tafadhali.

ingia hapa kwenye hii link uijue zaidi www.m.wisegeek.com/what-is-a-usb-dongle.htm
 
Back
Top Bottom