hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.
Niliwahi kuongelea swala la free internet.
Kuna watu walinitumia PM kwamba zikiwa tayari niwastue
lakini nimefanya hivo naona wanazingua tu.
Kuna chip,ambayo ukiweka kwenye modem ya mtandao huo
utatumia free internet daima.
Ina cost 40,000/=
PM me kabla ya kesho.

Usidanganyike, hakuna kitu kinaitwa free internet never......kwa taarifa yako kinachofanywa hapo ni change ya configurations za hiyo chip inakuwakama post paid wakati ni prepaid.
Take note: Ni vema hii biashara ungefanya kimya kimya sio kupublisize kama hapa kwa sbb ni rahisi sana kuwekewa mtego ukanaswa na ukibanwa sawasawa utamtaja huyo rafiki yako aliyeko kwenye huo mtandao, hiyo ni fraud case na jamaa yako wakimdaka tu atapoteza kazi hapo hapo haina mjadala hilo....pia kumbuka internet usage iko monitored kwa site kwamaana ya eneo au matumizi kwa mteja mmoja mmoja, so wakiona graph yako ni kubwa sana wanakuwa interested kupata record yako ya malipo sasa hapo ndo wanatakapo anza kukutafuta, line ziko registed na hata kama umesajili kwa taarifa feki wakiamua kukuwekea mtego watakudaka tu.......sikutishi ila huo ndoukweli ukitaka chukua ukitaka acha, kama ukiwa nayo tumia kimya kimya au kanunue ya voda elfu 30 kwa mwezi....kuna vitu vingine hasa hivi vya electonic unaweza ukahisi umejificha kumbe watu wanakuona tena ukiwa uchi
Duuh! hehehe wajameni from my point of view izo line hazina shida mie nilishanunaga long time and still using its LIGHTENING fast na pia iko very
stable yani haijidisconnect even one time ata kama itakaa miezi mitatu thats a great offer coz kupata unlimited maximum speed ya tigo week ni
40,000 na mwezi ni 150,000.. sasa unanunua 40.000 and use it mpaka wapate ufumbuzi.. daah i say take the risk.. Bongo hii watu wanaishi kwa
madili and this only happens once usije ukapitwa LOL! hahaha yani uku ni full raha nashusha tu 24-7.. heheh tena they fast unaweza ukasurf and
download at the same time kama rite now as we speak! 🙂

Me napewa tu kusambaza chip,....mengine hayo sijui
Usidanganyike, hakuna kitu kinaitwa free internet never......kwa taarifa yako kinachofanywa hapo ni change ya configurations za hiyo chip inakuwakama post paid wakati ni prepaid.
Take note: Ni vema hii biashara ungefanya kimya kimya sio kupublisize kama hapa kwa sbb ni rahisi sana kuwekewa mtego ukanaswa na ukibanwa sawasawa utamtaja huyo rafiki yako aliyeko kwenye huo mtandao, hiyo ni fraud case na jamaa yako wakimdaka tu atapoteza kazi hapo hapo haina mjadala hilo....pia kumbuka internet usage iko monitored kwa site kwamaana ya eneo au matumizi kwa mteja mmoja mmoja, so wakiona graph yako ni kubwa sana wanakuwa interested kupata record yako ya malipo sasa hapo ndo wanatakapo anza kukutafuta, line ziko registed na hata kama umesajili kwa taarifa feki wakiamua kukuwekea mtego watakudaka tu.......sikutishi ila huo ndoukweli ukitaka chukua ukitaka acha, kama ukiwa nayo tumia kimya kimya au kanunue ya voda elfu 30 kwa mwezi....kuna vitu vingine hasa hivi vya electonic unaweza ukahisi umejificha kumbe watu wanakuona tena ukiwa uchi
Ok bila shaka speed yake ina range dat for download speed range from 250- 350 KBps.. apo kama mtandao uku poa and somtimes at nitemkuu specify the speed rate!!!!
Ok bila shaka speed yake ina range dat for download speed range from 250- 350 KBps.. apo kama mtandao uku poa and somtimes at nite
inafika mpaka 400KBps.. na kama mtandao unasumbua its around 130KBps.. sijawah ona inashuka zaidi ya hapo mara chache sana.. na pia
inaweza ikazingua browsin speed somtimes lakini downloading speed haisumbui... iyo ni snap nimechukua now:
View attachment 39741
Thats Dangerous...Umepewa kusambaza wizi, nawe unakubali tu! Hii ndo maana hata wasanii wetu hawaendelei kwa kuwepo watu kama ninyi! Binafsi hata kama ungenipa Chip bure nisingetumia!
Mkuu mie siuzi hizi line alieanzisha thread ndo anauza mie nimekuja kuleta details on how dey are coz nilinuaga.. but kama clemmy zimemuishia thenperfect. not bad!!! am gna PM you when i need it
Umenena mkuu.kweli unalipenda taifa lako, Au wewe ni mfanyakazi wa tigo? kama ni mapenzi yataifa!!, i hope pia wewe c mkwepaji wa kodi wala mwizi wa umeme!!
MUNGU AKUZIDISHIE
ok bila shaka speed yake ina range dat for download speed range from 250- 350 kbps.. Apo kama mtandao uku poa and somtimes at nite
inafika mpaka 400kbps.. Na kama mtandao unasumbua its around 130kbps.. Sijawah ona inashuka zaidi ya hapo mara chache sana.. Na pia
inaweza ikazingua browsin speed somtimes lakini downloading speed haisumbui... Iyo ni snap nimechukua now:
View attachment 39741