kwa hiyo na sisi tuwachomee maduka yenu huku bara?!Fine, lakini mkumbuke kwamba ni lazima iwe declared before international acts kwamba sasa imekuwa ni nchi halali. Ndiyo maana tunasema tunataka uhuru wetu. Mkubali kwamba mnatuacha tuishi na kujijenga kama nchi, mdeclare mbele ya sheria zote za kimataifa zitakazoitambua zanzibar kama nchi, na si kirahisi rahisi hivyo kusema eti tuachie madaraka tuende zetu! Halafu tukifanya hivyo? Nani atakayetutambua kwamba ni nchi?Mchakato uanze sasa, mturuhusu wananchi wa zanzibar tupige kura ya bila kampeni kama tunataka muungano or not? Hii kura ndiyo kitakuwa kigezo mhimu cha kuitangaza zanzibar kama nchi huru. Hivi sasa watanganyika mmejitahidi sana kuzuia mijadala yote inayohusu muungano kwa kuhofia kwamba zanzibar itajitenga. Lakini someni alama za nyakati. Tayari watanganyika wanachomewa maduka zanzibar na tayari makanisa, mabaa na mabucha ya nguruwe yanasambaratishwa kule. Ni dalili tosha kwamba hatuwahitaji wageni tena. Tunataka nchi yetu huru.
yakhee Weye acha ubishi yakhee hakuna kilichobadilika hapo, ni sawa na mwanamke labda mariam au amina kupaka wanja au poda but anabaki kuwa mariam au amina yule yule yakhee, Muulizeni karume vizuri mana ndio msomi wenu huyo yakhee.Ina maana wewe na akili zako zote unashindwa kuiona tofauti iliyopo kati ya bendera ya Tanganyika na Tanzania? Na bado unashindwa kuiona tofauti kwenye nembo hizo? Kuwa serious kidogo. Pengine ungeuliza kuna tofauti kwa kiwango gani? ngoja nikufafanulie tofauti zake ambazo ni kubwa sana ambazo zinazifanya bendera hizo na ngao zisifanane abadani ingawa zina rangi zinazokaribiana kama ilivyo kwa bendera ya Kenya na Sudani Kusini.Tofauti ya bendera ya Tanganyika na Tanzania ni kuwa ya Tanganyika haina rangi ya bluu halafu mistari yake imelala....Tofauti ya ngao ni kuwa ngao ya Tanganyika ndani yake ina bendera ya Tanganyika na ngao ya Tanzania ndani ina bendera ya Tanzania.Swali sasa. Hizo siyo tofauti? Ama ulitaka tofauti za kivipi kwa mfano?Idumu Tanganyika!
wee nawe kwani hizi kero huzioni?hawa wanatulaumu sana wa bara,wanatubagua na kututenga wakijiita wazanzibar, hatuwalazishi kuwa nao kama vp wasepe tu.kuwa na adabu na heshimakama zamani walikuwa taifa huruwana haki ya kutaka kuwa huru tenamatusi yako yanaongeza hasiranahisi umetumwa labda,kuwatukana na kuwachokoza wazanzibari
I think we should get used to the idea that one day or next few years Zanzibar will be Independent from its ever meddling mainland partner: Tanganyika.
U r an African and blood related to the Coastal People of Tanzania (though u call us vichogo and every bad names u know) even landwise! i suppose Zanzibar landmass was part of Pwani e.g. Bagamoyo and one day our ancestors from the mainland woke up and found a serious trench occupied with water and part of their land has disappeared with some of their brothers and sisters! They deviced a means to find them through boats and they continued with their brotherhood till when Arabs from Oman came and introduce Islamic religion plus their culture that indoctrinated a belief that u r related to them! These Arabs enslave most of u in the Islands till a day ur blood and race related brothers organized a coup to salvate you! But guess what after years of Freedom now you want to go back to ur slave master! Its a dangerous path you want to take my brother neither the US nor the EU will allow that since your motives has some elements of extremism and will distabilize the region to prove a point the EU+US have started to deal with your supporters first Egypt then now Libya and as a result Southern Sudan gain independence since no financial backers were there to help them financial on their war against the South as usually! Pls try to learn from fellow Africans from Southern Sudan, they later realized an African can never be an Arab by mere chance of just speaking their language and imitating their culture! a nigger will be a nigger!?Really? any particular reasons
sipati picha siku muungano umevunjika jinsi wapemba watakavyojaa bandari wakisubiri vyombo kurudi ktk zanzibar iliyo huru, sa nyumba zao sijui zitauzwa? au zitafanywa gest? hivi watatosha kweli? watakao amua kubaki tanganyika itabidi waishi kwa permit, dah ulaji huo kwa uhamiaji maana hata hawajifichi.
Nyie wazenji mkivunja muungano huu, haitawasaidia chochote isipokuwa kutengana wenyewe kati ya wapemba na waunguja. napita tu
Nyie nendeni tu kaka/dada wengine tusha choka haya makelele. Haya jitengeni muende kuwa kama ulaya.
Msema hovyo, kwanza samahani kwa kuku under estimate kuwa huujui uhuru wa Zanzibar, pili nilipoona jina lako la Msema hovyo, nikadhania wewe ni msema hovyo kweli, kumbe ni jina tuu.Pasco, heshima mbele mkuu. Siku ya mapinduzi ya Zanzibar, nilikuwa nina umri wa miaka minne, na sitasahau siku ile ambapo tulila msituni na mamangu pamoja na dadangu katika harakati za kujificha kutokana na watu kuwa wanakimbia huku na kule. Sijawahi sahau hata siku moja. Wakati wa mapinduzi yale, watanganyika hawakuwepo, wala mapinduzi yale hayakufanyika ili baadaye tuje tuunde serikali ya muuungano? Tulifanya yale mapinduzi kwa maslahi ya watu wa zanzibar, na tulikuwa tunaitaka Zanzibar huru na si vinginevyo. Nikiwa kama mhanga wa adha za yale mapinduzi, siwezi kukubali damu ya wazanzibar iliyomwagika kwa ajili ya ukombozi wa wazanzibar ipotee bure.
Wazanzibari hadi hivi sasa bado hatupo huru, kwa kuwa hatuna uwezo wa kufanya mambo yetu wenyewe. Wazanzibar tunaamuliwa mambo yetu na watanganyika ambao wanatudanganyishia nafasi za uwaziri na umakamu wa rais. Sisi hatuna shida na nafasi hizo, tunataka zanzibar huru. Tunataka uhuru tulioupigania wakati wa mapinduzi ya mwaka 1964, utunufaishe wa zanzibar na iwe ni shukurani kwa mashujaa wetu waliopigania uhuru wetu.
Pasco, kwa nafasi yako, yawezekana hicho unachokisema ndo kinadhihirisha msimamo wa serikali ya Tanganyika. Sasa nasema wazanzibar hatujanyamaza katika hili. Tunaendelea na mikakati, wala msijeshangaa siku tutakapo iondoa serikali ya CCM madarakani na kuweka kiongozi mwingine atakayeitangaza Zanzibar kama nchi huru.
Pasco, kuhusu uhuru nafikiri somewhere tumeargue pia na mwanakijiji. Wazanzibari tunaujua lakini hatuutambui uhuru wa 1963, ambao alikabidhiwa Sultani. Ule haukuwa uhuru wetu sisi, kwani wewe Pasco ulishawahi kuona Zanzibar wanasherehekea uhuru wa December 1963? Sisi uhuru kamili tuliupata 12/01/1964 pale tulipofanikiwa kuifanya nchi kuwa mali yetu wazanzibar weusi wazalendo. Nafikiri Pasco kama umefuatili kwa karibu historia ya Zanzibar utakuwa unajua kabisa ni namna gani ambavyo ushindi wa Chama cha ASP ulikuwa unaporwa na waarabu, hadi kufikia kuifanya ASP kutumia nguvu kurudisha utawala mikononi mwa wazanzibar. Kwetu sisi uhuru ni ule wa mapinduzi ya zanzibar na ndiyo maana tutayaenzi mapinduzi daima.Msema hovyo, kwanza samahani kwa kuku under estimate kuwa huujui uhuru wa Zanzibar, pili nilipoona jina lako la Msema hovyo, nikadhania wewe ni msema hovyo kweli, kumbe ni jina tuu.
Pole kwa kuwa ni muhanga wa Mapinduzi yale sasa naomba tubishane kwa hoja based on facts na sio hisia tuu.
1. Kwanza tukubaliane, Zanzibar ilipata uhuru Desemba, 1963, that is a fact, you can't deny. Hivyo Zanzibar inachokitaka sasa sio uhuru, bali restoration ya its soverenity iliyoipoteza kwenye muungano na sio uhuru.
2. Pili, 'Umoja ni Nguvu', hivyo muungano wowote wenye nia ya kuleta umoja, ji jambo jema, ni jambo la kheri, licha ya kuwepo matatizo haya na yale. Hii inamaana, ukiondoa kero za muungano, muungano ni jambo la kheri.
3. Na tatu tukubaliane sababu zilizopelekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakati ule zilikuwa valid na tena kwa nia njema ya usalama wa Zanzibar hata kama ghara yake ni ustawi hasi. Hebu ifikirie Zanzibar bila Muungano, ingekuwa Zanzibar gani?. Si mgeishia kuchinjana kila kukicha?. Just imagine, japo ulikuwa mdogo wa miaka 4 tuu wakati wa Mapinduzi, mimi nimesoma accont ya mlichowafanya Waarabu kwenye mapinduzi yale, hakuna aliyeandika wala unyama wa mapinduzi hayo haupaswi kuhadithiwa, itakuwa ni kujenga chuki na kutonyesha vidonda kwa waliofiliwa. Bila muungano, manowari ya Uingereza ilishatia nanga Mombasa, tayari kuvamia Zanzibar na kumrudisha Sultan Jamseed. Jee Sultan angerudi, unaweza kuimagine hatima ya wanamapinduzi?. Lazima mumshukuru sana Nyerere na Karume ndio maana wengine wenu mpaka leo mnaweza kukohoa kudai uhuru.
Nakubaliana nanyi kuwa sababu zilizopelekea muungano doesn't exist anymore na pia makubaliano yale ya msingi yameshakiukwa na kupindishwa na kuongezwa bila ridhaa ya upande wa pili kulikopelekea muungano huu kuzongwa na kero lukuki, dawa ya kero hizi ni kuzitatua na kuzirekebisha na sio kuuvunja muungano.
Kwa vile muungano iliingiwa kwa nia njema 'in good faith', naomba hata tunapojadili maslahi ya Zanzibar kwenye muungano huu, tudadili in good faith tukitanguliza utaifa mbele na kuacha hisia nyuma.
Nakuhakikishia wewe Msema hovyo na wengine wa aina yako, hata ikitokea muungano ukavunjika leo, kesho, Zanzibar hamtabaki salama kama mnavyojidhania, wale mliowachinjia baba zao na mama zao kwenye mapinduzi yale, na kuwabakia binti zao huku wengine mkijitwalia kuwafanya wake zunu, damu yao itawashukia na utafika muda, jambia zitatembea tena!.
Tukiuvunja muungano huu uliopo sasa, Wazanzibari ndio watakuwa the biggest loosers maana ni Zanzibar ndio ina gain the most ndani muunganu huu at the expense of sisi wabara!