Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Free airtel internet kwenye pc na kwenye simu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Sep 3, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,290
  Likes Received: 3,440
  Trophy Points: 280
  KWA PC:
  You need a PC or a Laptop and the required connectivity tools ,ie.,
  Serial/USB cable OR Infrared Device OR Bluetooth dongle
  1) Activate Airtel Live! ( It’s FREE so no probs)
  2) Create TWO Airtel gprs data accounts (yep TWO) and select the
  FIRST as the active profile.
  3) Connect your mobile to the PC (or Laptop) and install the driver for
  your mobile’s modem.
  4) Create a new dial-up connection using the NEW CONNECTION
  WIZARD as follows
  Connecting Device : Your mobile’s modem
  ISP Name : Airtel (or anything you like)
  Phone Number : *99***2#
  Username and Password : blank
  5) Configure your browser and download manager to use the proxy
  100.1.200.99 and port 8080.( My advice is to use Opera since you
  can browse both wap and regular websites)
  6) Connect to the dial-up account. You will be connected at 115.2
  kbps (but remember, that is a bad joke).
  7) Pick up your mobile and try to access any site. You will get “Access
  Denied…”(except for Airtel Live!). IT DOES NOT MATTER.
  Keep the mobile down.
  8 ) On the PC ( or Laptop) open your browser, enter any address ,
  press ENTER and…….WAIT
  9) After a few seconds the page will start to load and you have the
  WHOLE internet at your disposal.  KWENYE SIMU SASA:
  First jaribu hizi 2 settings:


  First
  IP Address :: 10.49.16.10
  Port :: 8877
  APN :: airtelfun.com Second
  IP Address :: 200.199.82.61
  Port :: 8080
  APN :: airtelmms.com

  I have also got some IP Addresses and Open Ports which are working for different Users so I have listed them. You can tryout if the above settings doesn’t work. Working IP Addresses
  (a) 10.2.45.155
  (b) 10.49.16.10
  (c) 10.4.1.55
  (d) 10.6.6.6
  (e) 10.89.15.15
  (f) 100.1.200.467
  (g) 100.1.200.211 (this one is for west bengal) Ports
  (a) 8080
  (b) 9421
  (c) 9201
   
 2. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ngoja nijaribu mkuu!!lakn dah umetisha
   
 3. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,290
  Likes Received: 3,440
  Trophy Points: 280
  test mkuu af bring feedback
   
 4. samito

  samito JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu naona umeamua kuchanganya wa2 kwa kuandika kireefu, anyway ni faida kwa wale wavivu wanaotaka kufafanuliwa kila ki2, ila nataka kueleza uma kwamba hakuna cha bure! narejea msemo wa jk kuwa, usipotaka kuliwa, huli! mwisho kabisa 2sipende WIZI kwan ni dhambi na pia inarudisha maendeleo nyuma pia hao airtel si wanatumia garama kurun biznes zao ama?
   
 5. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  hahaha! Ebana eeh! First of all mkuu toa mada wewe mwny umejaribu na imekubal? Ustupostie copied post jst like that na utuambie it works hii k2 haifai bongo y first of all airtel haikonnect chini ya 0 shs na 4 this to work lazima uwe connected kwanza apa sio naija au india mkuu. Cjakucrash lakn habar ndo hyo pata procedure test it then if it works ndo utulete apa.
   
 6. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Unapenda sana haki ww?bs hii nchi haikufai embu kajaribu labda libya huko!masuala ya wao kurun hzo busines yanakuhusu nn?washawah kuja kuomba msaada kwko?nonsense..pia ubongo wko nnamashaka nao@samito!
   
 7. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #7
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Yah uko sawa
  <br />
  <br />
   
 8. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,356
  Trophy Points: 280
  Wabongo ni noumer....kumbe wengi tunalijua hilo? Good. Waambie hawa wana JF. :)
   
 9. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,216
  Trophy Points: 280
  mzeewaloliondo, kwanza asante kwa usaidizi huu, ila ni wito na angalizo.

  Wito.
  Natoa wito kwa wale wote wenye hali ngumu kiuchumi ambapo kuliupia internet inawagharimu sana, kuzitumia opportunities kama hizi za kujipatia free ride na kuishi ndani ya dunia hii moja ya utandawazi japo sometimes, "bure ghali"!.

  Angalizo.
  Wale wenye uwezo wa kulipia, endeleeni kulipia ili kuulinda uwezo wetu wa kupata kuendelea kupata. Kama unauwezo wa kulipia, Mungu anakupa kipato cha kuweza kulipa, endelea kulipa ili uwezo huo uendelee kwa kufuata formular ya "mwenye nacho huongezewa", isijigeuze "asio nacho ukanyang'anywa hata hicho kidogo ulichonacho"!.

  Naomba nimalizie kwa kuwapa siri ya utajirisho inaitwa "money mystic", the more you spend, the more you get!.

  Pasco.
   
 10. S

  Sharp lady Senior Member

  #10
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante.
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  Sep 4, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,119
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Nadhani umecopy /paste kutoka india hii, umejaribu bongo kweli?
   
 12. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  mkuu nimeona uvivu hata kufuata procsess,hata kama ingekua inakubali kuwork in Tanzania siwezi kutumia hiyo Technology cozy inawork kwenye GPRS network ambayo speed yake haina mvuto kwa dunia ya leo.
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Sep 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  dah west bengali, shukrani kwa post lako la copy and paste mejaribu halifanyi kazi

  tanzania hamna sheria ya internet ni sawa unambie nkila mchanga nimeibaaaa
   
 14. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #14
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  This way inafanana na away ambapo unaweza tumia free internet tanzania lakini kwa ZANTEL ONLY and works on CDMA na GSM ya zantel pia ndo nko namaliza kutengeza hyo thread nitapost nikimaliza. Been using that way kwa miezi mitatu sasa and works fine lakini max download speed 12 K B/per second and kwa kusurf its fast c unajua tena vya bure na u can only use it for 6 hours a day
   
 15. ElectronicSalim

  ElectronicSalim Member

  #15
  Sep 4, 2011
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Hizo Hack's zilikua zinatumika Airtel India na kwa taarifa yenu zimeshafungwa tayari, mitandao yote ya Tz ina2mia proxy master Ambayo inabadilisha IP id's mara 7 kila baada ya masaa manne., so sio rahisi kutumia neutral Proxy Address ili kupata internet bure. Kama vp endelea na research.
   
 16. e2themiza

  e2themiza JF-Expert Member

  #16
  Sep 4, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 973
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  As i promised post nimeshaimaliza na nishaipost tyari fungua hapa

  https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/169536-zantel-freeee-internet-access-at-0-shs.html
   
 17. vena

  vena JF-Expert Member

  #17
  Sep 4, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimejaribu nimeshindwa kaka acces denied!
   
 18. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #18
  Sep 4, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,761
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  Kama Salim wa kol centa ni pm kama sio please kausha
   
 19. E

  Estyzo Senior Member

  #19
  Sep 4, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  vp kuhusu voda
   
 20. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #20
  Sep 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,610
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu humu hamna kujuana ohhhhoooooo........
   
Loading...