Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

Frederick Sumaye na kusaidia upinzani

bulumya londo

Senior Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
184
Reaction score
14
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.

Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.
 
mr. Zero katika ubora wake. yeye alisema yuko ukawa lakini hana chama
 
Sijuwi kama nyiye mazuzu ya ccm mnasomaga mnacho andika!
 
Ila tuache mzaha mbowe kaumbuka sana na hana jinsi inabidi ang'atuke
 
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!
 
Wachaga watazidi sana kututawala katika biashara Tanzania kama hivi ambavyo Mbowe alivyofanya biashara ya kuuza chama kwa kuwaweka BOND wanywa viroba
 
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!
Takwimu yako hiyo ss tuliokuwa site takwimu yetu rais ni JPM. TUMIA KICHWA WEWE mnaibiwaje majimbo 188 pambafu
 
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!

Ni mpumbavu pekee na lofa tu atakayeamini lowasa alishinda kwanza kwa majimbo yepi ambayo mmechukua ubunge? Mmekalia kutoa mihemko ya mitusi tu na wala haitawasaidia lowasa Ana nyota ya kukatwa tu.
 
Ivi kweli nyie vibaraka wa ccm Hii ndio sera yenu ya hapa kazi tu? Mnajadili ya SUMAY ? KWELI vichwa maji sana. Ivi bado mnalipwa naona mnajitaidi kweli.

Wewe kalia kumtukana SUMAY wakati mwenzio anapeta
 
Walitegemea nn kwa mr 0 lazima washindwe tu. Mamlaka hupangwa na Mungu na mteule wa awamu ya 5 ni JPM
 
Hahaha huwezi lazimisha kama Mungu hajakupangia utahangaika tu Labda asubiri 2025. Aibu yao Mr zero,Mwampachu
 
Ni mpumbavu pekee na lofa tu atakayeamini lowasa alishinda kwanza kwa majimbo yepi ambayo mmechukua ubunge? Mmekalia kutoa mihemko ya mitusi tu na wala haitawasaidia lowasa Ana nyota ya kukatwa tu.

wewe dada,unajua ni majimbo mangapi CCM wameyachukua kwa nguvu plus rushwa?,mfano mzuri huku mbagala!halafu mapovu yanawatoka kutetea ushindi batili,na huyo mtu wenu sijui kama atamaliza hata mwaka.
 
wewe dada,unajua ni majimbo mangapi CCM wameyachukua kwa nguvu plus rushwa?,mfano mzuri huku mbagala!halafu mapovu yanawatoka kutetea ushindi batili,na huyo mtu wenu sijui hata kama atamaliza hata mwaka.

Wewe ni nani wakusema hujui hata mwaka ataumaliza hahaha hayo maneno yamkosaji nakwambia hivi kuanzia sasa tunamzungushia Ulinzi wa Mungu rais wetu Magufuli roho za fitina na roho mbaya ziwarudie ninyi naampe uzima na hekima kuliongoza taifa letu ameeen.
 
Ila tuache mzaha mbowe kaumbuka sana na hana jinsi inabidi ang'atuke

wenye chama tunataka aendelee nyinyi ccm kaz kupayuka tu, au kwakuwa munamuogopa sana, kutoka 26% 2010 hadi 39.8% 2015 unataka mwenyekt afanyaje tena? aje awalishe kwenu na familia yenu? acha upoyoyo
 
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.

Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.

Summaye anaitwa Mr ziro,waziri mkuu aliyekuwa hawezi kujadiri miswaada ya ki sheria kwenye baraza LA mawaziri,
 
viva kamanda wa anga Freeman Mbowe, Wauwe Baba
 
Ivi kweli nyie vibaraka wa ccm Hii ndio sera yenu ya hapa kazi tu? Mnajadili ya SUMAY ? KWELI vichwa maji sana. Ivi bado mnalipwa naona mnajitaidi kweli.

Wewe kalia kumtukana SUMAY wakati mwenzio anapeta

Hapa kazi sio Sera ya ccm tu na wewe inakuhusu,maana usipofanya kazi utakuwa kibaka tu,
 
Back
Top Bottom