Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Usikariri huyo sio kipanya anaitwa king kinya,Lakini kwa nini kipanya huwa hakamatwi kwa jinsi anavyomchora mzee wetu na kichwa kikubwa kiasi hicho
Usikariri huyo sio kipanya anaitwa king kinya,Lakini kwa nini kipanya huwa hakamatwi kwa jinsi anavyomchora mzee wetu na kichwa kikubwa kiasi hicho
Hao wazee inafaa wasiaminiwe tena huko CCM kwani walikivuruga sana CCM mwaka 2015; pamoja na kurudi wafungiwe kujihusisha na siasa wao na familia zao kwa muda wa miaka kumi (10).
Hujui lolote kaa kimya, wewe kazi yako kununua kadi za chama. Ila misingi na uwepo wa vile vyama hujui lolote na utaendelea kuwa mtumwa hadi kufa.Akili matope hizo, hata hao wenye chama chao wanakucheka Kwa dharaaaau
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Siasa bana, anakusanya za wenzake, yakwake ipo kwenye locker.
Mwanasiasa ni kama mchezaji leo yuko simba kesho yanga na akifunga tunashangilia
Salute kwa kipanya...hii kamati gani lakini maana ng'ambo hawapo wawakilishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpigie na kofi.Acha kukurupuka mkuu,soma tena ili utambue ni nani kachora hiyo katuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipanya alishasema kwamba yeye hajawahi kutamka kwamba hicho kibonzo ni jpm. Watu ndio wanasema jpm.
Na jpm alishasema anafahamu kwamba anachorwa kichwa kikubwa mbele na kimegawanyika katikati.
Katuni za kipanya huwa sinaacha maswali na tafsiri nyingi na hazina ushahidi.
Kwa mfano unamfungulia kesi mahakamani utaithibitishiaje mahakama kwamba huyu katuni mwenye kichwa kikubwa ni jpm? Je jpm anafanana na hiyo picha?
Sent using Cash Money Wings
Wewe ndiye hujui kitu unalishwa matango pori unafakamia hivyo hivyo.Hujui lolote kaa kimya, wewe kazi yako kununua kadi za chama. Ila misingi na uwepo wa vile vyama hujui lolote na utaendelea kuwa mtumwa hadi kufa.
Hahaha! Et Pinda anajibu kwani lazima