Freddy alivyopokelewa nyumbani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1581581168721.png
 
Kipanya alishasema kwamba yeye hajawahi kutamka kwamba hicho kibonzo ni jpm. Watu ndio wanasema jpm.

Na jpm alishasema anafahamu kwamba anachorwa kichwa kikubwa mbele na kimegawanyika katikati.

Katuni za kipanya huwa sinaacha maswali na tafsiri nyingi na hazina ushahidi.

Kwa mfano unamfungulia kesi mahakamani utaithibitishiaje mahakama kwamba huyu katuni mwenye kichwa kikubwa ni jpm? Je jpm anafanana na hiyo picha?

Sent using Cash Money Wings
Kwani money laundering na upelelezi kutokukamilika haimuhusu huyu kipanya
 
Hawa wanaendelea na michezo yao ya siasa huku wanatafuna kodi zetu (ajabu tunaotafuniwa kodi tunashangilia).., no wonder siasa ishakuwa ndio ajira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom