Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,617
- 34,062
Wabongo kwa unafiki ni funga kazi.Nguo og zipo south si hapa bongo hapa ni michina tu
Nchi ambayo watu wake mpaka leo bado wanavaa nguo za ndani za mitumba eti nao leo wanaponda nguo za kichinaš¤£!!!!
Kwani brands shop hapa Dar hamjui zilipo ??
Au maduka ya mtandaoni kama Amazon, Zara, LV etc hamjui yalipo ???
Wabongo punguzeni unafiki.