That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,188
- 3,599
Mie mgeni kwenye hii sekta, haya nambie wewe wataka twende wapi??Utakuwa umenichoka.
Mie mgeni kwenye hii sekta, haya nambie wewe wataka twende wapi??Utakuwa umenichoka.
Lol. Nitakuambia with time.Mie mgeni kwenye hii sekta, haya nambie wewe wataka twende wapi??
alekaaaa..Kwamekia kwaa
raia hamtaki masiharaWe acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
Hizo nguo za kuvuja rangi siwezi zivaaNiliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
Maronya ronya yamejaa pale dukan ikwake sinza
Njooni soko la ilala hapa asubuhi balo zinafunguliwa unapata kadeti,suruali,au kodrai moja matsta SanaNiliwahi fika kwa duka la vunjabei pale Sinza
Ni uchafu ni vurugu
Hakuna original zote ni made in China toleo la nne vichochoroni Guangzhou
Nguo zinachuja rangi hatari
Ni bora uende Kariakoo kuliko vunjabei (ni maoni yangu tu)
Ilala sehemu gani boss?Njooni soko la ilala hapa asubuhi balo zinafunguliwa unapata kadeti,suruali,au kodrai moja matsta Sana
Ma Shati za ukweli za drafti ukizifua ukapiga pasi unanata mjini kama vile umenunua department store new York
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Soko ilala Kama unaenda buguruni ukitokea karumeIlala sehemu gani boss?
Nitajaribu siku. Nimevaa makadeti ya uyu MR Kadeti, na Kariakoo, dah shariti usifue, ukifua tu chalii.Soko ilala Kama unaenda buguruni ukitokea karume
Pale opposite na mwalimu house
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Haya ndo mambo sasa, em tupe chimbo hilo na muda.Njooni soko la ilala hapa asubuhi balo zinafunguliwa unapata kadeti,suruali,au kodrai moja matsta Sana
Ma Shati za ukweli za drafti ukizifua ukapiga pasi unanata mjini kama vile umenunua department store new York
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Kabatini kwako unapaswa kuwa na izo nguo ishirini atleast utamaliza mwaka lakini kama unazo mbili tu miezi sita mingiNitajaribu siku. Nimevaa makadeti ya uyu MR Kadeti, na Kariakoo, dah shariti usifue, ukifua tu chalii.
Kbaire sa kwamaangulwa ngakvia.alekaaaa..
Nimevaa surual zake. N kweli tupu Sasa usirogwe. Ukafua ndo utajua nn maana ya vunja BeiNguo zake ukivaa mpya ukivua rangi ya nguo inabaki kwenye ngozi.
Kadeti finishing kama za fundi maiko nyuzi zinaning'inia.
Billionaire wa Instagram anashea chupa ya Hennessy na machawa
bongo bilionea kasema we Nan upingeMmh tumekusikia Gucci made in China ikavunja bei.
woolworths hawa ndio wana vitu vya kweli kibongo bongo..Aaaah Fred jamani asitufanyie hivi.
Yani mtu anunue Gucci kwa 15k umwambie kavaa OG? Bora ingekua mtumba tungeelewa.
Atuache kidogo
mkuu wewe ni wakuchukua nguo zako woolworths.. huko kwingine hapakufaiNitajaribu siku. Nimevaa makadeti ya uyu MR Kadeti, na Kariakoo, dah shariti usifue, ukifua tu chalii.
Siku moja nilikutana na dada alifanya shopping ya milioni 4 Woolworths Mlimani City.woolworths hawa ndio wana vitu vya kweli kibongo bongo..
Juzi juzi walikuwa na punguzo.. niliangiamo mwana wane kufanya yangu 😄😄😄😄.. mle kuacha milioni kadhaa ni kawaida kabisaSiku moja nilikutana na dada alifanya shopping ya milioni 4 Woolworths Mlimani City.