Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Nguo og zipo south si hapa bongo hapa ni michina tu
Wabongo kwa unafiki ni funga kazi.

Nchi ambayo watu wake mpaka leo bado wanavaa nguo za ndani za mitumba eti nao leo wanaponda nguo za kichinašŸ¤£!!!!

Kwani brands shop hapa Dar hamjui zilipo ??

Au maduka ya mtandaoni kama Amazon, Zara, LV etc hamjui yalipo ???

Wabongo punguzeni unafiki.
 
Vubja Bei
Mnataka OG kwa gharama ndogo?
Yeye ana watu wake anaowauzia,mkitaka nguo OG nendeni kwenye maduka makubwa yenye gharama.
Nliingia kwako nkawa nachagua jins ..nkaambiw 19 skupata hata moja, Kuna upande nkaona jins na kadet zile men zenyew, huwez Amin wakanambia hz vip huruhusiw kuchagua zna watu wake , nkasema Kwan shngap hawakutaja Bei, af nikwachek wauzaji ni wengi wengne sjui magay hata skuelewa af jinz zenyew walisema nschague ni za 35 tu
 
Huo ni wivu na kuharibia watu biashara ,kwani original ni nini ? je ni nguo ikitokea ulaya ? Vunjabei ametarget wateja fulani ,kwa ujinga wako unaamini vunjabei anatarajia mawaziri waende kwake ? Ameonesha njia kwa vijana mpeni support mambo ya kujikita kwenye udhaifu wake mimi siungi hiyo hoja .
 
Biashara huria. Ukitaka maduka ya nguo zako yapo mengi, ila usimlazimishe audhe nguo za bei ghali, wakati wateja wengi anao watarget yeye ni wa kipato kidogo. Ndo strategy ya biashara yake. Hizo unazozitaka nenda pale maduka ya Mlimani City utazipata na bei yake imesimama vile vile. Lakini usijipende kutaka vitu original wakati bajeti yako 20000
 
Baada ya kusikia jina Vunja bei kwa muda mrefu mitandaoni ikabidi na mimi nigoogle, nikafaikiwa kukutana na podcast moja ya vunja bei.
Jamaa ameongea mambo mengi sana na moja amewataka wateja waje kwa wingi kwenye maduka yake maana hamna kitu fake vyote ni original.
Anasema ukikuta nguo imeandikwa Gucci lakini inauzwa elfu 15 basi fahamu hela iliyobaki Fred Vunja bei kakulipia,nguo zetu zote ni OG.
waakuu yapi maoni yenu?
Gucci ata za Mtumba Bongo kuziona tu shida,Sembuse ziwepo Sinza MadukanišŸ˜šŸ˜
Maduka ya nguo Sinza,Kariakoo,Kinondoni...kwa kifupi Yote Tanzania akuna Pochi,nguo,saa,pafyum Original zote fake/midosho...

Screenshot_20210502-183737.png


Screenshot_20210502-183601.png
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom