Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

Gucci ata za Mtumba Bongo kuziona tu shida,Sembuse ziwepo Sinza Madukani😁😁
Maduka ya nguo Sinza,Kariakoo,Kinondoni...kwa kifupi Yote Tanzania akuna Pochi,nguo,saa,pafyum Original zote fake/midosho...

View attachment 1771369

View attachment 1771373
Halafu watu wanatakiwa kujua kuwa fake doesn't necessarily have to be of low quality.

Mfano: Mtu anaweza kutengeneza Juisi bora kabisa kuliko za Azam, ila kama akizi brand Azam tayari hiyo ni Azam fake hata kama ni high quality.

Ukitaka Brands z mtumba, kabda uagize mtandaoni kwenye consignment shops kutoka Marekani. Siyo bei rahisi vile vile.
 
Fake ni pale unapotengeneza bidhaa na kuipa jina la Bidhaa nyingine bila makubaliano halali ya Kisheria.Tengeneza Juice hiite Jina lako ..lakini unapoibatiza jina la mtu mwingine hilo alikubaliki.China inaongoza kwa kuzalisha fake Products.Mwaka juzi waliwai tengeneza Fake Mercedis Benzi.hapa TZ TV,Simu,Pombe kali vyenye majina makubwa vingi Ni fake kutoka China
 
Wabongo kwa unafiki ni funga kazi.

Nchi ambayo watu wake mpaka leo bado wanavaa nguo za ndani za mitumba eti nao leo wanaponda nguo za kichina!!!!

Kwani brands shop hapa Dar hamjui zilipo ??

Au maduka ya mtandaoni kama Amazon, Zara, LV etc hamjui yalipo ???

Wabongo punguzeni unafiki.

Asee, naonaga mitaa ya Kinondoni jamaa anapitisha boxer za mtumba na watu wanazikagua kwa kutaka kununua
 
Biashara huria. Ukitaka maduka ya nguo zako yapo mengi, ila usimlazimishe audhe nguo za bei ghali, wakati wateja wengi anao watarget yeye ni wa kipato kidogo. Ndo strategy ya biashara yake. Hizo unazozitaka nenda pale maduka ya Mlimani City utazipata na bei yake imesimama vile vile. Lakini usijipende kutaka vitu original wakati bajeti yako 20000
Nawashangaa sana wanadamu wana roho za ajabu
 
Halafu watu wanatakiwa kujua kuwa fake doesn't necessarily have to be of low quality.

Mfano: Mtu anaweza kutengeneza Juisi bora kabisa kuliko za Azam, ila kama akizi brand Azam tayari hiyo ni Azam fake hata kama ni high quality.

Ukitaka Brands z mtumba, kabda uagize mtandaoni kwenye consignment shops kutoka Marekani. Siyo bei rahisi vile vile.
We ndo una akili sasa hii vita mmetupiga sana wachaga sasa wakinga watawakoma kisa wametoboa
 
Hili nakataa, nguo zake nyingi hazina ubora hasa jeans yaan kuna nguo nilinunua pale Dodoma Vunja bei baada ya miezi 2 mifuko ilichanika,
Wakati kuna nguo niliwahi kununua zaidi ya miaka 6 mpaka kesho zipo,
Mimi hua napenda kumuunga mkono maana ni Mtz mwenzetu ila kwenye ubora hapana
 
Back
Top Bottom