Fred Vunja bei: Maduka yetu pekee ndio yanauza nguo original hapa Bongo

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
6,527
2,000
Mmh tumekusikia Gucci made in China ikavunja bei.
Watu hamuijui China vizuri nyie, mnaropoka tu. Ukifika kwenye maduka Marekani na Ulaya nguo na vifaa vingi ni Made in China. China wanazo bidhaa quality sana. Washenzi ni wafanyabiashara wetu hapa wanaozoa nguo za bei nafuu (fake) kutoka China na kuuza kwa bei ya original.

Mtu kama ww unadhani kuwa wachina wana bidhaa hafifu tu.
 
The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
5,708

Mwambie kijana haijui hongkong ni nini
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
50,319
2,000
Watu hamuijui China vizuri nyie, mnaropoka tu. Ukifika kwenye maduka Marekani na Ulaya nguo na vifaa vingi ni Made in China. China wanazo bidhaa quality sana. Washenzi ni wafanyabiashara wetu hapa wanaozoa nguo za bei nafuu (fake) kutoka China na kuuza kwa bei ya original.

Mtu kama ww unadhani kuwa wachina wana bidhaa hafifu tu.
Kutokana na lobbyist ku lobby haki za wafanyakazi na migomo, wenye viwanda nchi za Magharibi walijikuta hawatengenezi faida. Ndiyo ulikua mwanzo wa Globalisation.

Bidhaa na nguo za Magharibi zinatengenezwa Indonesia, Taiwan, India, Bangladeshi China nk. Hata hivyo China kuna grade za bidhaa.

Zile za Vunja Bei haya huko zinakotoka zinauzwa kwa bei hiyo.
 
fasiliteta

JF-Expert Member
Jul 2, 2014
1,400
2,000
Tulonunua nguo vunja bei wakati wa miaka ya 2015-2017 jamaa walikua wanaleta vitu grade kiasi chake,nilinunua vijeans na vitisheti vyake mpaka leo ninavyo vimepauka kiasi tu lakini viko fresh.
Mwezi wa pili,nilisema nipite kidogo nichukue kat.shirt pale sinza nikakavaa,kimefuliwa Mara mbili mpaka leo Sina hamu nayo.Imekua Kama dekio na kuvutika Kama Dera.

Ushauri wangu tu,kwa Sasa anajina mjini,aache maronyaronya auze walau grade alizoanza nazo mwanzo hatotumia nguvu kubwa kujitangaza tofauti na sasa
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
13,392

Anataka faida nyingi kwa wakati mmoja sasa ivi
 
Duke Tachez

JF-Expert Member
Mar 28, 2018
5,306
2,000
Watu hamuijui China vizuri nyie, mnaropoka tu. Ukifika kwenye maduka Marekani na Ulaya nguo na vifaa vingi ni Made in China. China wanazo bidhaa quality sana. Washenzi ni wafanyabiashara wetu hapa wanaozoa nguo za bei nafuu (fake) kutoka China na kuuza kwa bei ya original.

Mtu kama ww unadhani kuwa wachina wana bidhaa hafifu tu.
kwa hiyo kumbe wachina wanaonewa tu
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,591
2,000
mzee unaweza ukaongeza maelezo kidogo kuhusu nguo o.g kupatikana south
Zile kampuni zenyewe zinazotengeneza pamba original unakuta wana maduka yao south.mfano timberland.Hapo bongo makampuni makubwa ya mavazi hamna.Nguo tunazovaa ni direct kutoka china.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom