Francis Cheka knock out

Francis Cheka knock out

Cheka anatumia ndumba aka uchawi ndo maana huwa anashinda kirahisi maana hata walipopigana juzi kuna kipindi Mada Maugo alisema kuwa alikuwa hamuoni mpinzani wake,pia nguvu zilikuwa zinamuishia bila sababu.Cheki acha kutumia uchawi kwenye ngumi.
 
inaweza kua kweli,coz round ya 1 mpaka ya 3,cheka alienda chin mara 2,lkn round Ya 4 mambo yakaanza kua mabaya kwa mada
 
Cheka umetia aibu nilikuwa nakufagilia sana kuwa una uwezo ila kuchanganya na mambo ya giza aaahh sijapenda na wala haina mashiko kabisa ona kafara uliotoa!!bado namuheshimu King Mada Maugo kuwa anaweza akakuzidi kama si nguvu ya giza!!!!!sijapenda ushindi wako wala sijaukubali!!!!
 
wabongo acheni uzushi mlisema hivi hivi kwa kina matumla
 
Cheka anatumia ndumba aka uchawi ndo maana huwa anashinda kirahisi maana hata walipopigana juzi kuna kipindi Mada Maugo alisema kuwa alikuwa hamuoni mpinzani wake,pia nguvu zilikuwa zinamuishia bila sababu.Cheki acha kutumia uchawi kwenye ngumi.
Kwanini usiseme jitihada zake za mazoezi?
 
inaweza kua kweli,coz round ya 1 mpaka ya 3,cheka alienda chin mara 2,lkn round Ya 4 mambo yakaanza kua mabaya kwa mada
unafuatilia ngumi kweli wewew?tafuta pambano la mosley na margaritto!samuel peters vs klitscho lile samuel peters anagoma kunyanyuka katika stool!halafu mtafute mtu anaita karama nyilawila muulize mapambano yake ya ulaya pumzi ikikata huwa anafanya nini!hapo ndo tutaanza kuzungumzia kwanini mada aligoma kuendelea na pambano!
 
kwa iyo mada maugo pumzi ilikata katika hali ya kawaida tu
 
Unauliza au unahitimisha niliyoyasema?mapambano mangapi ya maugo ushaangalia?rejea pambano la maugo na karama nyilawila la ddc magomeni!kumbuka tyson akishindwa kumknock out mpinzani mpaka raundi ya 6 alikuwa na hali gani?mtafute boxer yeyote muulize boxer akiwa na pressure ya pambano kabla hajapanda raundi ya kwanza anakuwaje katika kupoteza pumzi!halafu jiulize kama ngumi zina miziziology kwanini sumbawanga hamna maboxer au kwanini mikanda mikubwa duniani haishikiliwi na waafrica ambao ndo wanaaminika kwa juju?...subiri burudani may 5!mayweather vs cotto hapa mtanichosha!
 
cheka anatumia ndumba aka uchawi ndo maana huwa anashinda kirahisi maana hata walipopigana juzi kuna kipindi mada maugo alisema kuwa alikuwa hamuoni mpinzani wake,pia nguvu zilikuwa zinamuishia bila sababu.cheki acha kutumia uchawi kwenye ngumi.
wasiosoma ni chakula cha wasomi
 
Unauliza au unahitimisha niliyoyasema?mapambano mangapi ya maugo ushaangalia?rejea pambano la maugo na karama nyilawila la ddc magomeni!kumbuka tyson akishindwa kumknock out mpinzani mpaka raundi ya 6 alikuwa na hali gani?mtafute boxer yeyote muulize boxer akiwa na pressure ya pambano kabla hajapanda raundi ya kwanza anakuwaje katika kupoteza pumzi!halafu jiulize kama ngumi zina miziziology kwanini sumbawanga hamna maboxer au kwanini mikanda mikubwa duniani haishikiliwi na waafrica ambao ndo wanaaminika kwa juju?...subiri burudani may 5!mayweather vs cotto hapa mtanichosha!

haya bwana nimekusoma mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom