Four cylinder Vs six cylinder

Four cylinder Vs six cylinder

Unamaanisha nini unaposema rotary engines?
Most engine tulizozungumzia ni resprocating engines.

Unaposemea rotary engines kwa mimi nitarefer turbines engines .
Sasa sijajua ulikuwa unamaanisha nini neno rotary ulivyolitumia
Kuna baadhi ya Mazda RX-8 zinatumia rotor engines...
 
Kuna baadhi ya Mazda RX-8 zinatumia rotor engines...
Kama hiyo mazda ina piston , cranshaft,liner,piston rod, na ikiwa mzunguko wa mduara wa cranshaft unaifanya piston ambayo imejiunga ktk cranshaft kwa kutumia piston rod , kutembea mwendo wa vertically ndani ya liner hiyo ni resprocating engine na sio rotary.
Kwa hiyo inawezekana hiyo rotor ni kifaa kimeweka ktk engine
 
Haya mambo ya CC na clyinders hua ni changamoto.Niliwahi kununua Mazda rx 8 ya 2005 ina cc 1300 na 4 clyinders ila ulaji wa mafuta ilikua 1litre inaenda km 6.5 highway ila inakimbia sana kuliko altezza na hizi gari nyingine sa saizi yake.Tatizo cc ndogo lkn mafuta inakula v8 vile

Mkuu hii machine kodi yake ilifika kiasi gani, naikubali sana hii gari.
 
Kama hiyo mazda ina piston , cranshaft,liner,piston rod, na ikiwa mzunguko wa mduara wa cranshaft unaifanya piston ambayo imejiunga ktk cranshaft kwa kutumia piston rod , kutembea mwendo wa vertically ndani ya liner hiyo ni resprocating engine na sio rotary.
Kwa hiyo inawezekana hiyo rotor ni kifaa kimeweka ktk engine
Rotary engine ya rx haina piston rod...cyo reciprocating engine ts a rotary engine
 
Haya mambo ya CC na clyinders hua ni changamoto.Niliwahi kununua Mazda rx 8 ya 2005 ina cc 1300 na 4 clyinders ila ulaji wa mafuta ilikua 1litre inaenda km 6.5 highway ila inakimbia sana kuliko altezza na hizi gari nyingine sa saizi yake.Tatizo cc ndogo lkn mafuta inakula v8 vile
Mkuu hii chuma uliagiza au ulnunua apa apa..huwa kam nazielewa flan,kam uliagiza ulitumia kam sh.ngap mpak inafka mkononi kwako na ilishatembea kam km ngap kule kwao
 
Kuna baadhi ya Mazda RX-8 zinatumia rotor engines...
Hiyo inaitwa opesed resprocating engines kama zile za engine ya ndege ,zina liner bro .
Wameita rotary kutokana na arangement ya piston ktk uduara.
 
Kama haina piston as a means ya kuchoma mafuta basi itatumia turbine kuchoma mafuta na mlipuko wa gas under high pressure unakwenda kucompress rotor na kupata mzunguko
 
Kama haina piston as a means ya kuchoma mafuta basi itatumia turbine kuchoma mafuta na mlipuko wa gas under high pressure unakwenda kucompress rotor na kupata mzunguko
Hapo tumeenda sawa mkuu...
 
Six cylinder ina nguvu sana na inakimbia kukiko 4 cylinder! Na six cylinder inakunywa mafuta madogo kiasi ukilinganisha na 4 cylinder.
Si kweli, hutokea four ikawa na nguvu zaidi kuliko 6, unywaji wa mafuta kweli 6 huwa mzuri kuliko 4 ikiwa same cc
Sijawahi Kuona Gari ya 6cylinders ikawa Na 2000cc. Huku north America Gari zote za V6 zinaanzia 3000cc hadi 4200cc. Wanajuwa zaidi fafanueni
zipo tele tu
6 cylinder inakua na horse power kubwa hivyo na mwendo wake unakua mkubwa.....hiyo inatokana na 6 cylinder inakua na valve 6 badala ya nne....
Wrong info mkuu, ishu sio how many pistons, ishu compression ya engine ndo itakayodetermine ipi inakimbia
 
Injini ya gari langu ni 5.7L V8, kwa hiyo ninasoma 2000 cc cylinder 6 ninakuwa kama siamini ninachosoma, kwani nafikiri 2000 cc ni kama lita mbili tu. Kwa injini kama hiyo kuwa na cylinder sita ina maana itakuwa na vipistoni vidogo sana katika karne hii, hivyo sehemu ya energy inapotea bure kukabiliana na friction baina ya moving parts.
Bila shaka hio gari yako ni VX V8 Land Cruiser
 
Hapana Aisee, VX V8 Landcruiser mie siwezi kumudu bei yake. Ya kwangu ni Toyota Sequoia Platinum ya mwaka 2013.
Sema ina share engine na land cruiser bila shaka, sasa seqouia si ni bonge la gari ukilinganisha na land cruiser! Hebu acha utani mkuu, kitu cha American market hikoo...
 
Kaka izzo umejibu vizurii sanaa
Lakin wakati huo unatakiwa kujua kwamba unaweza kuwa na 4 cylinder na ikawa inakunywa mafuta zaid na ikawa na nguvu zaid ya 6 cylinder kinacho angaliwa ni size ya cylinder jee ina upana gani kwa maana kwamba unaweza kuta upana wa piston moja ya 4 cylinder ni sawa na 0.75 ya piston moja ya 6 cylinder hivyo kuna wakati wing wa piston inaweza isiwe sababu ya kuhusianisha na utumiaji wa mafuta
 
Back
Top Bottom