Tunatofautina kwenye blue, kwa sababu kwa muktadha wa cylinder hizo za V6 au V4 ni sawa na simtank kama nilivyotaja. Na kwa gari simtank ni lile tank la mafuta, na koki ni zile nozzle zinazopitisha mafuta. Kwamba ukiwasha gari lenye nozeli 4 na mwenzako akawasha gari lenye nozel 6 na mwingine awashe la nozel8, katu hicho kitu ulichokisema hakipo. Kwa nadharia ya Fluid Mechanics na Discharge, nadharia yako haiko hivyo.
Concept ya tank niliyoitaja haijaangalia ile Horse power au kama gari ni full umeme (hybrid) bali ni normal case. Ulaji wa mafuta kwa normal case unazingatia concept ya uwingi wa nozzle ambazo ni zao la hizo Cylinder,na concept ya discharge capacity inakuja hapa. Hii ni elementary concept ambayo ukishaanza nayo inakufikisha kwenye uhalisia.