Four cylinder Vs six cylinder

cc maana yake ni cubic capacity,ukubwa wa hizo cylinder ambako piston zinawekwa. cylinder chache ziwe na cubic capacity sawa na cylinder nyingi sijaelewa au naweza sema haiwezekani
Kwa nini isiwezekane ndugu? Usitoe majibu mepesi kwa maswali magumu
Angalia hii mifano:
  1. Toyota noah zinatumie engine ya 3S ambayo ni cc 2000 lakini ni 4 cylinder
  2. Toyota Cresta Super Lucent/Toyota Chaser Avante zinatumia engine ya 1G ambayo ni cc 2000 lakini ni 6 cylinder
Hii ina maana engine ya 3S cylinder zake ni kubwa kuliko 1G. Ila wingi wa cylinder kwenye 1G unafanya engine iwe na pulling kubwa kuliko 3S. Pamoja na kwamba engine zote zina cc 2000, wa Cresta atampita Noah kwa mbali kutoka na difference kwenye pulling. Got it?
 
Back
Top Bottom