Kwa kuagiza nitenge shilingi ngapi?Mark II iliyotumika hapa bongo inakuwa kwenye Hali Fulani sio nzuri Sana na itakubidi utie pesa ya matengenezo pia unahitaji kuwa fundi wa kukagua mfumo wa umeme , engine na gear box.
Ila kama unanunua kutoka Japan aisee unafurahia Sana maisha , Hii gari Toyota walituliza Sana Akili
Milioni 28 nakuendeleaKwa kuagiza nitenge shilingi ngapi?