Bora tuu ungekaa kimya6 na 4 ndio tofauti
Inawezekana kabisa. Kwani huwezi kuwa na vikombe sita ambavyo jumla ya ujazo wake ni lita moja na mtu mwingine akawa na vikombe vinne ambavyo jumla ya ujazo wake ni lita moja hiyo hiyo?cc maana yake ni cubic capacity,ukubwa wa hizo cylinder ambako piston zinawekwa. cylinder chache ziwe na cubic capacity sawa na cylinder nyingi sijaelewa au naweza sema haiwezekani
Kaka izzo umejibu vizurii sanaaCylinder zinawakilisha Horsepower (HP) ni kipimo cha nguvu zinazotumiwa au zinazozalishwa katika engine ya gari ambazo zinaanzia 4 mpka 12 au vinajulikana kama V4 ,V6,V8na V12 wakati cc, inasimamia kwa sentimita za ujazo kipimo ni 1/1000 ya lita moja ya mafuta. rating ya mafuta katika injini horsepower kwa kawaida inatolewa na mtengenezaji kwa kasi maalum ya injini.
Hiyo ni kweli kabisa ndio maana injini ya 3s ya rav 4 au Noah sr40 ukiangalia ulaji wake wa mafuta hautofautiani sana na injini ya 1G ya GX 100 au GX 110 ya mark 2 lakini watu wengi hawalijui hilo ila wanachoangalia ni six tuu6 au 4 ni idadi ya piston zinazo compress mchanganyiko wa oxygen na mafuta kusababisha combustion inayotoa nishati ya kuzungusha shaft. 6 itahitaji milipuko 6 kukamilisha mzunguko mzima wa shaft wakati 4 itahitaji milipuko 4 tu. Hivyo kama zote zina cc zinazolingana basi ile ya 4 cylinder itakuwa na inachoma mafuta mengi kwa kila piston moja ukilinganisha na piston ya 6 cylinder.
Watu wamekaririshwa nao wanaimba kama kasuku bila kutafuta taarifa kiundani. Hili ni tatizo na litaendelea kuwepo mpaka pale watu watakapo amua kujifunza kwa kufuatila mambo kiundani na kiutalaamHiyo ni kweli kabisa ndio maana injini ya 3s ya rav 4 au Noah sr40 ukiangalia ulaji wake wa mafuta hautofautiani sana na injini ya 1G ya GX 100 au GX 110 ya mark 2 lakini watu wengi hawalijui hilo ila wanachoangalia ni six tuu
6 cylinder inakua na horse power kubwa hivyo na mwendo wake unakua mkubwa.....hiyo inatokana na 6 cylinder inakua na valve 6 badala ya nne....Habari wakuu naomba kuweka kwenu huu mjadala mtu anayetumia cc 2000 lakini four cylinder na anayetumia cc 2000 lakini six cylinder.
Hapo tofauti ni nin
6 na 4 ndio tofauti