Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 677
- 1,400
Haya sasa
Kumekucha huko marekani CEO wa chatgpt sama mda huu amafukuzwa kazi na management kwa kuonekana hayupo competent kwenye position ya uongozi ( CEO )
Ikumbukwe kwamba idea nzima ya chatGPT ilikua yake, development na programming amefanya yeye na rafiki zake
Kiufupi amafukuzwa kwenye kampuni yake mwenyewe
Pamoja na hayo Microsoft weme investment karibia $10 B, valuation ya openAi inakadiriwa kuwa $90 B. Mimi ni mmoja wa watu nilio tarajia microsoft wata ichukua openAI chini ya miaka miwili tokea product ya GPT iwe kwenye production
Funzo hapa kama wewe ni kijana kuwa makini mikataba unayoingia kama unashiriki hizi challenge za makampuni makubwa kama imbeju ya CRDB, Tigo Digital na ecobank ukienda kichwa kichwa ipo siku kampuni yako itaibiwa mchana kwepe na hautakua na lakufanya
==============
Quick update:
Sama na Greg wamerudi OpenAI, Ilya ameondoka kwenye board ya OAI kama chairman
Adam D'Angelo amebaki kwenye board za chini chini zinasema huyu jamaa nio chanzo cha yote, alikua ana-push sama atolewe
______
Employee wa openAI walitishia kuondoka kwa sababu kwenye contracts zao sama halihahidi kuwa atawapa share za openAI zenye thamani kati ya 10-50M USD, Kama sama angeondoka basi share zote zingekua worthless.
Chief AI engineers & researcher wote walio kuwa wamesha resign wamerudi.
-----
AI/ML/DL model zina kua build na mathematical model, kama umesoma statistics, mathematics for economics au econometrics una nafasi kubwa ya kuwa AI researcher maana model zinafanana sana, ukiongeza ujizi wa programming hasa PY, R na C++ unaweza kua na nafasi kwenye fild ya AI