Found a real love when its too late.

Causin, its only right to say its a fantasy thing and it will not last thats for sure. You two lonely hearts met, mingled very well you even got some sort of connection and flow ndo maana you even went ahead to say you found a real love when its too late. Isnt your 2 years man a real love? If its to get laid fine go ahead get laid ila utakuwa umecheat on him which you already have done that so far. Flirting is really good sometimes ila dont let it in your way isiende mbali. Wanasema hivi, BETTER THE DEVIL YOU KNOW THAN THE ANGEL YOU DONT KNOW
 
Habari zenu wanajf? hope mu wazima.
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.

Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi sababu ya kazi,yani mikoa tofauti.
Kampuni ninayofanya kazi nimetokea kuwa karibu sn na kijana mmoja ambaye pia ni mfanyakazi mwenzangu lakini sio ofisi moja,ukaribu umezidi na hatimaye tumejikuta in love,ukweli ni kwamba naweza kusema huyu kaka anajua kupenda, ananiheshimu and he real know how to care for a woman,kitu ambacho i always dream about,yupo tayari kwa lolote na muda wowote nitakaomhitaji hasa kama nina shida,ukweli ni kwamba tumependana sn utafikiri wote tumekutana tukiwa single,wakati hata yeye ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye.
Naombeni ushauri wenu kwa hiki ninachofanya,je ni sawa na kama sio sawa nitafanyaje?,ukweli ni kwamba nampenda sana na siko tayari kumpoteza cause he made ma life wonderful,never knew it before.Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.

I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.

Naombeni ushauri,nitaendelea hivi mpaka lini?

Aisee Utajuta dadangu,
Kwanza jinsi ulivyojiachia bila shaka ushamweleza kila kitu, ishu ambayo inakufanya uonekane huna msimamo kama mwanamke,
pili, Kama ana mtu wake we una jiweka katika nafasi gani unataka kumzidi kete huyo mwenzako?
Epuka kitu kinaitwa whims

USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO
KALAGHABAGHO!
SINA MSAADA ZAIDI!!
 
1.Kawaida ndege wajanja hunaswa na tundu BOVU...Nakuona mjanja sana lakini upo ndani ya tundu bovu kabisa du pole sana.
2.JIULIZE MASWALI HAYA ILI UJUE NISEMAYO NI KWELI upo ndani ya tundu bovu.
a)JE AMECHUKUA HATUA ZOZOTE ZA KUMUACHA MCHUMBAWAKE? NA USHAHIDI UPO?...JIBU UNALO
b) JE KAMA AMEAMUA KUMSALITI MCHUMBA WAKE ATASHINDWAJE KUKUSALITI WEWE? AU WEWE NDIE MZURI NA MWENYE TABIA NZURI KULIKO WOTE HAPA TANZANIA?
c) AMESHAKUELEZA KUWA MUACHE MCHUMBAWAKO ILI AKUOE?
3.KAMA MAJIBU YA MASWALI HAYO NI HAPANA.........UMELIWA.
NINACHOKIONA
1.BADO MUDA KIDOGO ATAKUJAZA MIMBA KAMA SIO VIRUSI.
2.MUDA SI MREFU UTAVUNJA UCHUMBA NA MTU ULIEMUAHIDI KWA ZAIDI YA MIAKA MIWILI KUWA UTAKUWA MKEWE MWAMINIFU.
3. MWANAMME MWEMA ASINGEKUPELEKESHA HADI HAPO ALIPOKUFIKISHA SASA HUONI NA WALA HUSIKII..ANA NIA MBAYA SANA HUYO.
4.USIKUTE KATUMWA TENA NA MCHUMBA WAKO MWENYEWE ILI AJUE HOW STRONG YOU ARE?
USHAURI:
1.ACHANA NAE KWA FAIDA YA MAISHA YAKO,UKIPINGA, SINA SHAKA UTAKUJA KUMBUKA HAYA NINAYOKUAMBIA LEO.
2.LAKINI PIA,KAPIME, UKIKUTA BAHATI MBAYA + +++++,BASI UFANYEJE SASA......ITAKUBIDI.......
......WATU WANATAFUTA WACHUMBA WEWE UNAWABEMENDA??????????
 
Kwanza unapaswa umpigie magoti mchumba wako....! Hata ukimfuata huyo, utakuja kukutana na mwingine, then mambo yatakuwa vivyo hivyo! Ningekuwa huyo jamaa wala nisingekuoa kabisa, kwani utakujanifanya kama ulivyomfanya huyo! Make a reference of the thread "Life of a Lifetime" in JF web. Kwa kifupi umedanganyika kuwa 'Love is not a Crime', and if so, it will be so in the next, and forever. Mimi nakushauri utoke kwenye mtandao upesi. Hufai kabisa.
 
FL wa France wasasa alisema ...Passion inadumu kwa miezi 6..baada ya hapo ni ....mazoea..
Huyu mdada mgeni wa wanaume nini??..hizo action hata mimi nikikutokea leo ntafanya hata kumzidi..
Hujatulia..
Ushauri: Nenda akakuoshe akimaliza akakumwaga akili itakomaaa.
 
Why am not surprised that you have concluded like this!
My advice is you are in for jolly good ride!.........yes enjoy the ride while still can but take note..........there is sharp corner along the way!
MJ, this lady really surprises me!!! anasema i wish but its too late wakati jamaa hata ndoa bado... probably na jamaa yake is wishing just like her naive mind

nampa pole kwamba hajui "kwa mwizi kangia jambazi" its just a matter of time

DN
 
Haloo Causin we bado mchanga sana kwenye anga hizi. Yaani wanaume hujawajua kabisaaaaaaaaaa. Kwa taarifa yako mwanaume anaweza hata kukubeba na kukuogesha kama anataka ile kitu. Ukiendelea imekula kwako hiyo pole mama
 
Achana na huyo mwanamme.. Itafika siku, mchumba wake atarudi.. sijui wewe utakuwa wapi! Hapo itakuwa majuto ni mjukuu! Nimefatilia kila reply, hakuna hata moja iliyokuunga mkono kwa jambo hilo.. Pole sana Mama!!!
 
Tatizo la wana jf ni kumlaumu mtu huku anahitaji ushauri.....
Halafu hapa kuna kosa pia la mwanaume kumuacha mpenzi wake
akae miaka miwili na nusu bila kumuona,,,,
au nyie hamlioni hilo??????????
 
The Boss heshima mbele mkuu,

mimi nadhani hujamuelewa Binamu, na sio kama watu wanamuhukumu bali yeye kaleta haoja ambayo tayari keshafanya maamuzi, sasa hapa watu watamshauri nini zaidi ya kumsema ali arudi kwenye mistari, nimekuwekea bandiko lake hapo chini na uchambuzi wangu hebu lipitie tena natumaini una uelewa mzuri tu

Habari zenu wanajf? hope mu wazima.
Jamani naombeni ushauri wenu kwa hili ninalofanya kama ni sawa au nakosea.

causen: "Mimi ni mdada ambaye bado cjaolewa ila nina mchumba ambae anakaa mbali na mimi sababu ya kazi,yani mikoa tofauti."
Me: hapa inaonekana hakuna ugomvi wowote na mchumba wake ni mambo ya maisha ndio yamewatenganisha

Causen: "Kampuni ninayofanya kazi nimetokea kuwa karibu sn na kijana mmoja ambaye pia ni mfanyakazi mwenzangu lakini sio ofisi moja,ukaribu umezidi na hatimaye tumejikuta in love,ukweli ni kwamba naweza kusema huyu kaka anajua kupenda, ananiheshimu and he real know how to care for a woman,kitu ambacho i always dream about,
Me: Hapa ndio tatizo lilipoanza, kwanza wapo ofisi tofauti ni ukaribu gani waliokuwa nao na nini walichokiongea mpaka wakaingia kwenye mambo ya mapenzi? sasa hapo kwenye Pink ndio mimi binafsi ninapomlaumu huyo dada, kumbe Pamoja na kuwa na jamaa/Mchumba wake yake lakini still alikuwa hajapata bado lile penzi ambalo alikuwa analiDream, alafu ni amkoasa makubwa kumlinganisha mume/mchumba wako na mtu mwingine, kutokana na maelezo haya huyo mchumba wake hamfai kwa sababu AJUHI kupenda, HaMheshimu and he real DONT know how to care for a woman

cAUSIN: yupo tayari kwa lolote na muda wowote nitakaomhitaji hasa kama nina shida,ukweli ni kwamba tumependana sn utafikiri wote tumekutana tukiwa single,wakati hata yeye ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye.
ME: Hapa dada yetu anaonyesha tofauti nyingine ya Mchumba wake na huyo jamaa yake mpya, kwamba yeye ni fimbo ya karibu na yupo muda wowote, lakini Causen hajuhi kama amejichanganya mwisho wa maelezo yake "ana mpenzi wake ambae pia anaishi mbali na yeye." kumbe ukaribu wote ni kwa sababu jamaa na mpenzi wake wako mbalimbali

Causen: Naombeni ushauri wenu kwa hiki ninachofanya,je ni sawa na kama sio sawa nitafanyaje?,
Me: kama ungeishia hapa ungeweza kupata ushauri, lakini kwa maelezo yako ya hapa chini

Causen: ukweli ni kwamba nampenda sana na siko tayari kumpoteza cause he made ma life wonderful,never knew it before.
Me: nimepitia maelezo yote ya Causen sijaona hata sehemu moja aliyosema nampenda sana huyo mchumba wake, lakini kinyume ni kuwa anampenda sana huyo jamaa yake mpya na hayuko tayari kumpoteza, kwa maana nyingine yupo tayari kumpoteza yule wa zamani, hii kauli pia inanipa wasiwasi "never knew it before". yaani ameonyehswa dunia mpya (Born again) ambayo mwanzo hakuiona, huo mwanzo ulikuwa ni upi?

Causen: Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.
Me: Hapa nadhani ndio mwanzo wa mwisho wa haya maisha yao ya uchumba, kwa muda wote wa miaka miwili na nusu dada Causen alikuwa hajawahi kupata kuona hii dunia mpya ya huyo "kijana mmoja", hilo la kusema ndio mara yako ya kwanza kusaliti na sababu ya kusaliti ni kuwa mchumba wako yupo mbali na wewe, vipi na huyu jamaa yako wa sasa akiwa mbali na wewe kikazi?

I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.

Causen: Naombeni ushauri,nitaendelea hivi mpaka lini?
Me: hapo ushauri hakuna na huo uchumba wako hauwezi kuwork out na hata hiyo ndoa yako kama mkioana na huyo mchumba wako haitadumu, na sababu kubwa umesha mdharau kwa kila kitu na mbaya zaidi nadhani ulikuwa unamponda mchumba wako mbele ya "huyo kijana mmoja" na ndipo alipochukulia advertage ya kupretend na kuperform extra ili akuchote.
Na hata kama ukiforce kuolewa ili mradi umeshaonja nje na kuona tofauti, hauwezi kuacha hiyo tabia, nina uhakika utaisaliti ndoa yako na mwisho wa siku ni kuja kuwatesa watoto ambao hawana hatia yoyote
 
Dah! humu jamii forum kuna wachambuzi wazuri sana hasa hapo kwenye red ndo umeniacha hoi kaka! Safi sana usiondoke jamii forum mzee!
 
kwanza nakupongeza kwa kuwa mkweli kuwa ni wewe ndio unaomba ushauri. si wengine hapa wanatumia vivuli vya wenzao kumbe shida ni zao. Dk Izak Ndodi anasema penda kuishi na mtu ambaye anakusisimua kwani ndio raha ya maisha ya unyumba. Kama jamaa wa mwanzo hana tofauti na huyu basi huna haja ya kuachana nae. zitakuwa ni tamaa tu za muda ndio zinakuendesha. chunga hilo. pili hujaolewa, hivyo angalia kama hisia zenyewe ni endelevu maana inawezekana kuwa jamaa anataka kukojoa kwa kuwa mpenzi wake nae yuko mbali. angalia pia hata ukiwa na huyu kisha ukatengana nae na kukutana na mwingine kisha kuhisi mnapendana. kwa hayo machache changanya na akili zako
 
Mimi sijaelewa!

1) Upo in love na nani? (a) mchumbako au huyo wa (b) ofisini?,
2) kama jibu ni (b) je mchumbako humpendi tena?
3) Kama unampenda, unataka kutuambia wewe unaweza kuwapenda several men bila tatizo?

MY TAKE:
Nyie mnajisikia mnapendana kwa sababu wenza wenu wako mbali, na mnapenda kungonoka, wote wawili mnafikishana. Kwasababu sio wachumba wala hamna commitment zozote, mahusiano yenu yana mipaka, kuna mambo ambayo kila mmoja wenu haitaji kuyafanya/kuyafikiria/kuyatolea maamuzi. Mko kwenye buffer zone, au bulwark area rather. Wote mnakutana kwa raha tu! sio shida. Hamuwezi kugombana......mtagombea nini wakati hamna mambo ya msingi ya kugombea? Kitu pekee kinachowaweka pamoja ni Kula dudu kwa bidii!! hakuna jingine.

Hakuna Mapenzi wala ndugu yake mapenzi hapo.

ninakuongezea SENKSI ya msisitizo. hata avatar yako inaonyesha inafikiria
 
Jamani mimi naona mjadala huishie hapa kama ni ushauri niliotaka nimeupata,na nitaufanyia kazi,manake naona sasa naona ckuomba ushauri tu na kashfa pia. NILIKUWA NA MAANA YANGU KUWEKA HII THREAD HIVI ILI NIONE MNATOAJE USHAURI WENU NA NDO MAANA NLIKUWA CJIBU CHOCHOTE.
Nimegundua kumbe ndo maana watu hawapendi kuandika direct thread inayomuhusu huwa wanatumia watu wengine ndo wanaoomba ushauri,kumbe sababu ni wanajf wenyewe mnakosa ufahamu wa maana ya kumshauri mtu,take a note of this watu watashindwa kuwa huru kuomba ushauri wenu.
Na kwa taarifa yenu wote mlionikashfu ndo mkanipa ushauri,siko mgeni wa haya mambo kiasi hicho mnachofikiria,am gud in this nilitaka kuona tu mawazo yenu.

Conclusion; thanks kwa wote waliotoa ushauri mzuri bila kashfa,special thanks kwa The Boss kwa kuwakumbusha maana ya kuomba ushauri.
 
Dada shukuru Mungu hayo majibu yote ,
 
Yaani unaomba ushauri halafu unataka watu wakupe ushauri kwa jinsi unavyotaka wewe??????????/!!!!!!!!!!!!!!! Unashangaza kweli binti. Ni lazima uelewe kuwa hata katika hizo kashfa kama kweli zipo unaweza kupata pointi ambazo ni vigumu kuzifukunyua kutoka katika ushauri unaokubembeleza. Kuwa ngangari bwana unataka kubembelezwa kwani kuna mama zako hapa.
 
Sijajua nianze na pole ama hongera bt what i know up to now ure in a dark side of love. You know why? 1) umefall na mwanaume kwa kuwa tu mpenzi wako yuko mbali.
2) dalili zinaonesha kuwa si mvumilivu hata kidogo, sasa utakuwa unafanya nn incase huyo wa sasa naye akija enda mbali? for some time labda 2yrs, je utampenda another guy? kama jibu lako ni ndio, basi you dont have true love maana mapenzi ya kweli yanaumiza pia wkt mwingine, na kama jibu lako hapana, basi vumilia tu huyo wa kwako atarudi tu si vizuri kuharibu mapenzi ya watu wengine maana huyo dada mwingine unayemchukulia mchuchu wake unamnyima raha alizozoea kupata.
3) inategemea lakini, ila for me its very ngumu kufanya kazi na ubavu wangu ktk shirika moja maana anything can happen good/bad
4)Mmeshaanza ku do naye?
5) Mpenzi wako huyo wa mbali huwa hamkutani toka aende huko na yuko mkoa for how long?

Back
Top Bottom