Found a real love when its too late.

umeshaongea nae kuhusu hich kipande blue, na yeye hayupo tayari kukupoteza? mapenzi ya mbali ni magumu sana, uongo mwingi/kudanganyana tu...umesham cheat mchumba wako, na huyo kaka nae kam cheat mchumba wae, cjui hao waliopo mbali na nyie inakuwaje tena...mambo mzunguko jamani.

Kawaida ya mwanaume yoyote,anaweza sema yuko tayari,but i think nahitaji kutulia na kufikiria mawazo yenu,thanx
 
Pia kwa kukusaidia soma na hii pia!

THE POWER OF MAN

.A man has the power to love a woman in a way she never been loved,and yet hurt her with the same intensity.

2.A man has the power to treat a woman like a queen
then turn around and make her wish she was never born.

3.A man has a power to make a woman cry with happness and joy
then turn around make her cry with hurt and anger.

4.Aman has the power to let a woman feel free and wanted
but also feel disgusting and unworthy

5.A man has the power to look at woman in her face and tell her he loves her,but turn around and sleep with her best friend.

6.A man has a power to make you fall in love with him within days,
and hate him within minutes.

7.During sex a man has the power to make a woman feel like she is in heaven
and afterwards makes her feel like a *****.

8.A man has the power to change a woman from having goals,to living his goals instead of her own.

BUT
the power of a man wouldn’t mean anything without a woman.
 
Hawa ndio walewale ambao wanakutwa wamekunywa sumu au wamejitundika ndani ya room zao bila kuacha ujumbe wowote! dada chunga sana acha kuwa mshamba wa mapenzi! ushaingizwa mjini wewe hujui wanaume siku hizi nao wamekuwa wategemezi shauri yako Jamaa huyu wa ofisi ya karibu ameshapiga mahesabu akajua loo ulaji upo kama ni bachelor jioni ana uhakika wa kupata msosi na vitu vingine kwa hiyo kuwa makini! vijana wa siku hizi wanajifanya wanakupenda ili wakutumie tuu kifananciachee shauri yako...we hujiulizi hiyo miaka miwili na nusu upo na huyo mchumba wako umeweza kuvumilia kwa nini usisubiri ummalizie ngombe mkia! halafu huo uchumba wa miaka miwili mnasubiri nini kwa nini msioane au bado mnasomana tabia...shauri yako utakosa yote....

Taratibu tete,nakupata afu maneno yako mbona makali sn,nlikuwa nahitaji ushauri wako sasa mambo ya shauri yangu tena mbona bado mapema.
 
Humpendi yule aliyeko mkoani

haapa umeliwa dada yangu, huyo ndie mwanaume halisi, he knows how to grab your mind, akijilia ndio utaelewa kwanini nakuambia umeliwa

wewe mgeni wa mapenzi eeh?! Unategemea awe mbali wakati bado hajafaidi tunda, hata ukitaka kwenda Brunei nina uhakika atakupeleka

hapa bado hujashtuka tu dada mapaka upigiwe king'ora cha zimamoto:pound:

hapa ushauri wa nini sasa kama hutaki kumpoteza? Umejichanganya

Ndio umeshamsaliti sasa au maana ya kumsaliti kwako imekaaje dada?

Kama hauna msimamo hata ukikaa na huyu utakuja kumpata mwingine na utasema hivi hivi, acha umbayu mbayu kuwa na msimamo

Narudia tena weewe ni mgeni wa mapenzi jfunze kwanza kabla ya kukurupuka au kukurupushwa, utakuja juta ukose wa kumlilia, JF hatupokei vilio vya kizembe bana

Ushauri wangu: Nakushauri uwe na msimamo na huyo wa mpenzi wako maana hakuna sababu ya msingi uliyotoa kuonyesha kuwa zinamtoa kwenye mahusiano na wewe. Kikubwa wewe ni maimuna wa mapenzi na umeghilibika na huo ukaribu na hizo caring za huto mfanyakazi wako wa karibu ambazo kwa uzoefu wangu ni za muda tu, hazina maisha ya kudumu

Kama unataka kumuacha huyo aliyeko mkoani toa sababu zenye mashiko:A S-eek:[/QUOTE
Makoyo,thanks nimepitia ushauri wako kuanzia mwanzo mpaka mwisho,i think have no comments nitaufanyia kazi,lakini kuhusu hapo nlipobold huna uhakika,kama ingekuwa hivyo basi wanaume wote wanaotoka nje ya ndoa zao ni maimuna wa mapenzi,najua kuna kujicontrol lakini sio useme wewe tangu ujue mapenzi umependa mtu mmoja tu mpaka sasa. thanx kwa ushauri wako.
 
Na ninaomba nieleweke niko na mchumba wangu kwa miaka miwili na nusu sasa na sijawahi kumsaliti kwa mwanaume yoyote zaidi ya huyu.

Mi naona kama umeshamsaliti mchumba wako tayari!! Sijui kwako wewe kusaliti manaake nini? Lakini kwa hapo ulipofikia tayari umemsaliti kwa sababu mumeingia kwenye uhusiano wa kimapenzi.

Mwenyewe unakiri kuwa mko in love.........!!
 
jiangalie sana BINAMU!SHAURILO....!
kuna mwenzio mmoja alishtuka wakati ''ANA MIMBA''!na jamaa ake yupo YUROPU anazitafuta!.......!

haya mambo pale yudisimu ni ''kawaida sana'' lakini

NDO WANAWAKE WA KI-BONGO MLIVYO!
 
hakuna mapenzi ya simu wala ya mbali hata siku moja....kama mnapenda lazima mfanye jitihada mkae pamoja. Vinginevyo asiyekuwepo na lake halipo. Ndio maana umepata na chance ya kumuona mtu mwingine mpaka ukatest hata mapenzi yake yakoje..atleast
 
Mi nakushauri jibakie single tu maana ukiolewa unaweza jikuta unamdondokea mwingine na ukampenda zaidi ya huyo uliye nae na ikawa balaa kwenye ndoa yako kwa jinsi ulivyo naona kama huridhiki na mmoja ni bora ujiishie hivyo hivyo utaenjoy utakuwa unawabadilisha kutokana na muda.
 
Tulia na mchumba wako binamu, huyo jamaa anataka kukumega tu kisha atakuacha, na usipokuwa na moyo mgumu ndio mwanzo wa kunywa sumu au kujitia kitanzi.
 
hapo dada kashaingia mkenge. Ni ushindi mkubwa kwa mwanaume kumchanganya mdada kiasi hicho ila mimi naongea kwa uzoefu wangu kuhusu kula mizigo, ni kwamba kama mtu una mtu wako mbali utakuta unatafuta mzigo mwingine ili usogeze siku sasa unakuta demu anakolea kabisa kumbe umemweka kama poozeo tu kojoleo likipata hamu

Angalizo hapa kwa dada yangu ni kwamba endelea kula tunda ila jua wazi huyo jamaa anakutumia tu hana future na ww utakuja kugundua baadae
 
u might be consumed by romantic obsession right now; thats why I am not surprised why u lose sanity..First I want to make it clear that I am not intrinsically against passion,,Mercy No... but before u make any decision u need to ask ur self... "will this choice be beneficial toanybody in the long term?
 
jiangalie sana BINAMU!SHAURILO....!
kuna mwenzio mmoja alishtuka wakati ''ANA MIMBA''!na jamaa ake yupo YUROPU anazitafuta!.......!

haya mambo pale yudisimu ni ''kawaida sana'' lakini

NDO WANAWAKE WA KI-BONGO MLIVYO!

Aaha hapo sidhani kama pana ukweli sio wanawake woote wa Bongo wako hvo me mbona wangu yuko Zurich na nina msubiri nacja msaliti? na yeye anajua hilo?
 
hapo dada kashaingia mkenge. Ni ushindi mkubwa kwa mwanaume kumchanganya mdada kiasi hicho ila mimi naongea kwa uzoefu wangu kuhusu kula mizigo, ni kwamba kama mtu una mtu wako mbali utakuta unatafuta mzigo mwingine ili usogeze siku sasa unakuta demu anakolea kabisa kumbe umemweka kama poozeo tu kojoleo likipata hamu

Angalizo hapa kwa dada yangu ni kwamba endelea kula tunda ila jua wazi huyo jamaa anakutumia tu hana future na ww utakuja kugundua baadae

Hizi zama za 'ujasiriamali' kila kona kila mtu ni mwizi tu..huyu mdada anaeza akadhani ni mjanja kwamba 'anaiba' kumbe yeye ndio 'muibiwa' mwenyewe..lol
 
duh ..............nna wasi wasi na mapenzi yako kwa mchumba wako. ungekuwa unampenda kweli kweli kwanza ungelijaribu tokea awali kutokuwa karibu na mwanamme mwengine.

Sidhani kama mapenzi na mwanamme mwengine yalianza tu kama jipu! uliyaacha yakakuwa, na pengine hata uliyapalilia, kuyatolea magugu na kuyatilia maji.

nadhani ungekuwa umejifunga na mchumba moja kwa moja ...............usingefika kuwa inlove na mwengine na kufika kumsaliti. angalau japo ungempa heshima ya kuvunja uhusiano nae kwanza.
 
Hawa ndio walewale ambao wanakutwa wamekunywa sumu au wamejitundika ndani ya room zao bila kuacha ujumbe wowote! dada chunga sana acha kuwa mshamba wa mapenzi! ushaingizwa mjini wewe hujui wanaume siku hizi nao wamekuwa wategemezi shauri yako Jamaa huyu wa ofisi ya karibu ameshapiga mahesabu akajua loo ulaji upo kama ni bachelor jioni ana uhakika wa kupata msosi na vitu vingine kwa hiyo kuwa makini! vijana wa siku hizi wanajifanya wanakupenda ili wakutumie tuu kifananciachee shauri yako...we hujiulizi hiyo miaka miwili na nusu upo na huyo mchumba wako umeweza kuvumilia kwa nini usisubiri ummalizie ngombe mkia! halafu huo uchumba wa miaka miwili mnasubiri nini kwa nini msioane au bado mnasomana tabia...shauri yako utakosa yote....

Nimekupata tete na ndo maana nliomba ushauri wenu,ila sasa mambo ya shauri yangu yanatoka wapi?
 
I wish i could knew him before,cause its like i found a real love when its too late,hata yeye pia ana apprecite sana for this love.

Why am not surprised that you have concluded like this!
My advice is you are in for jolly good ride!.........yes enjoy the ride while still can but take note..........there is sharp corner along the way!
 
Back
Top Bottom