We ulisikia kwa nani? you should bring here FACTUAL INFORMATION ONLY!
news za udaku o kutoka chombo fulani cha habri?mana heading yako ni ka inadhihirisha
well mr creative unlike you i also like facts... i heard it on TV but i wasnt concentrating .. thts y i asked.. if u get any news abt it ..du let me know
IT was TBC. na polisi fulani alikuwa ndo ana sema.. lakini i was payin attention to it....
[/COLOR]
hbu cheki hzo post kwenye nyekundu ndo ujue huu ni udaku..................kajipange af urudi tena
Ni kwel,na wameshatengewa bajeti,mi nilisikia toka kwa waziri wa ulinzi na mhe. Zitto aliomba wabunge wenye kutaka hyo nafas kujiunga waruhusiwe, na wazir akakubal ombi lake ilikuwa katika bunge la bajeti lilipita.kwa hiyo ni kwel na wala si udaku.
Jamani hayo mambo ya bajeti,mikakati,mipango mara mchakato yataisha lini?Ni kwel,na wameshatengewa bajeti,mi nilisikia toka kwa waziri wa ulinzi na mhe. Zitto aliomba wabunge wenye kutaka hyo nafas kujiunga waruhusiwe, na wazir akakubal ombi lake ilikuwa katika bunge la bajeti lilipita.kwa hiyo ni kwel na wala si udaku.

Kama ni hvyo ni habari njema maana wanafunzi wa siku hizi wamekuwa legelege.

Halafu masharobaro kibao suaruali haziwakai kiunoni na kila mtu anataka kuwa mchana mistari wengine utadhani mashoga kumbe wala ! Wameiga tu ujinga wa nje hebu waende wakakimbie mchakamchaka na kulima kwanza.

Back to topic! Ni kweli JKT inarudishwa na bajeti imeshatengwa ila sidhani kama watawezakuanza na wote maana watakuwa wemgi mno vinginevyo tutegemee ubabaishaji mwingi.

ukijongo JKT unakwenda lupango

jamani wadau wenzangu,

leo nilisikia news kuwa kuanzia 2012 wanafunzi wakimaliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na JKT..

is it true? na nani alie toa huu ujumbe?

natanguliza shukraani
spelling mistake over spelling mistake (Red).kaka let me rectify u... it was speeling mistake badala yakuandika wasnt ... nimeandika was...
kwani wewe hujawahi kufanya makosa madogomadogo.... lool au wewe nika roboti..