Form 6 wanatakiwa kujiunga na JTK For 6 months

asif

JF-Expert Member
Dec 28, 2009
302
90
jamani wadau wenzangu,
leo nilisikia news kuwa kuanzia 2012 wanafunzi wakimaliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na JKT..
is it true? na nani alie toa huu ujumbe?
natanguliza shukraani

We ulisikia kwa nani? you should bring here FACTUAL INFORMATION ONLY!

well mr creative unlike you i also like facts... i heard it on TV but i wasnt concentrating .. thts y i asked.. if u get any news abt it ..du let me know

news za udaku o kutoka chombo fulani cha habri?mana heading yako ni ka inadhihirisha

well mr creative unlike you i also like facts... i heard it on TV but i wasnt concentrating .. thts y i asked.. if u get any news abt it ..du let me know

IT was TBC. na polisi fulani alikuwa ndo ana sema.. lakini i was payin attention to it....

hbu cheki hzo post kwenye nyekundu ndo ujue huu ni udaku..................kajipange af urudi tena

Ni kwel,na wameshatengewa bajeti,mi nilisikia toka kwa waziri wa ulinzi na mhe. Zitto aliomba wabunge wenye kutaka hyo nafas kujiunga waruhusiwe, na wazir akakubal ombi lake ilikuwa katika bunge la bajeti lilipita.kwa hiyo ni kwel na wala si udaku.

[/COLOR]

kaka let me rectify u... it was speeling mistake badala yakuandika wasnt ... nimeandika was...
kwani wewe hujawahi kufanya makosa madogomadogo.... lool au wewe nika roboti..

thanks mate....

Kama ni hvyo ni habari njema maana wanafunzi wa siku hizi wamekuwa legelege.

Jamani hayo mambo ya bajeti,mikakati,mipango mara mchakato yataisha lini?

Kama ni hvyo ni habari njema maana wanafunzi wa siku hizi wamekuwa legelege.

Halafu masharobaro kibao suaruali haziwakai kiunoni na kila mtu anataka kuwa mchana mistari wengine utadhani mashoga kumbe wala ! Wameiga tu ujinga wa nje hebu waende wakakimbie mchakamchaka na kulima kwanza.

Back to topic! Ni kweli JKT inarudishwa na bajeti imeshatengwa ila sidhani kama watawezakuanza na wote maana watakuwa wemgi mno vinginevyo tutegemee ubabaishaji mwingi.

kweli kabisa jeshi lirudi taifa limepoteza muelekeo!
Wakaimbe sinjonjo nalia palampalaa!

Halafu masharobaro kibao suaruali haziwakai kiunoni na kila mtu anataka kuwa mchana mistari wengine utadhani mashoga kumbe wala ! Wameiga tu ujinga wa nje hebu waende wakakimbie mchakamchaka na kulima kwanza.

Back to topic! Ni kweli JKT inarudishwa na bajeti imeshatengwa ila sidhani kama watawezakuanza na wote maana watakuwa wemgi mno vinginevyo tutegemee ubabaishaji mwingi.

wamesema kutakuwa na awamu mbili za kwenda kambini, kila awamu n wanafunz km elfu 20, so awamu mbil elfu 40. Na inasemekano idad ya wanafunz wanaojiunga na A-level ni takriban elfu 30, so nategemea itakidhi haja, na ukizingatia jeshi hawana longolongo.

mkwe wa kambo,napatia picha! manake waliosoma saint nanilii, afu mziki wa jeshi! aisee,inabidi wakasomeshwe ulaya tu!
japo ingependeza majeshi yasiwe mzigo kwa taifa, wawe wazalishaji, wafanye kilimo cha kisasa na cha umwagiliaji ili wajitegemee kwa chakula na administration costs.
Kama ni hvyo ni habari njema maana wanafunzi wa siku hizi wamekuwa legelege.

Huo mpango upo,,,sa'wewe si ndio ulosikia????
jamani wadau wenzangu,

leo nilisikia news kuwa kuanzia 2012 wanafunzi wakimaliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na JKT..

is it true? na nani alie toa huu ujumbe?

natanguliza shukraani

kaka let me rectify u... it was speeling mistake badala yakuandika wasnt ... nimeandika was...
kwani wewe hujawahi kufanya makosa madogomadogo.... lool au wewe nika roboti..
spelling mistake over spelling mistake (Red).

Back
Top Bottom