CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,358
- 6,422
jamani wadau wenzangu,
leo nilisikia news kuwa kuanzia 2012 wanafunzi wakimaliza kidato cha sita wanatakiwa kujiunga na JKT..
is it true? na nani alie toa huu ujumbe?
natanguliza shukraani
It is true. Zilikuwa kwenye gazeti last last week. Ilitakiwa waende mwaka huu, lakini hakuna fedha. Ni kupoteza fedha bure na muda wa watoto wetu. Wanakwenda kufanya nini wakati nchi hii inashida ya fedha sana. Eti wajifunze uzalendo, mafisadi wote walipitia JKT, hata mzee wa vijisent alipitia huko, uzalendo uko wapi!!!! Wooooote, walipitia JKT hakuna aliye mzalendo, waache kupoteza fedha za walipa kodi.